HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
Yeah Gaming board wako vizuri maofisa kadhaa nawajua wanajenga nyumba za gorofa.
Mishahara haipishani sana ila allowances ndio zinapishana, unaweza kukuta officer ii fulani ana salary scale ya 3m lakini ana posho hazizidi laki9, halafu officer mwingine taasisi Nyingine anaanza na salary scale ya 1.2m lakini ana extrduty allowance ya tsh 1.8m, housing allowance 900,000/, transport 400,000 sasa hapo mwenye Hela nyingi ni mwenye salary ya 1.2m na allowances
 
Hapo changamoto ni kujua hizo sehemu maana watu wengi unakuta wanatoa story za uongo kuhusu hizi taasisi kwa sababu nao hawajui ukwel
 
Wakuu vipii vyuo vikuu kwa non academician huko Kuna asali kwelii,,, kama admission officer, quality insurance, warden , examination officer etc. au tutajichanganyaa.....poshoo zipo hukoo???
 
Mkuu unahamiaje sehemu kama hio, yani effort zote za kuhama uende sehem kama hio, mzee sifaham kada yako ila taasisi nzuri zipo kibao wekeza effort huko
Mwenyewe nilimshangaa toka Ile siku anasema kaomba RS,, tena huko hata asipoomba Vacancy atapata tu😁

Pia, qkumbuke akipata huko itambidi akae tena miaka mitatu ndio aombe kuhama labda Taasisi ya maana, sasa hii miaka yote mitatu ni Taasisi ngapi za maana zitatoa nafasi na atazikosa..!!
 
Labda ana lengo lake
 
Wakuu vipii vyuo vikuu kwa non academician huko Kuna asali kwelii,,, kama admission officer, quality insurance, warden , examination officer etc. au tutajichanganyaa.....poshoo zipo hukoo???
Mkuu usijichanganye kwenda vyuoni, utaliaaa
 
VIpi kwa Academicians?
Na vyuo vipi angalau
Data za mwaka 2024
Tutorial Assistant Degree 1.7M
Assistant Lecturer Masters 2.5M
Lecturer PH D 3.4M
Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa.
Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers kwahiyo niakili yako na usharp wako wa kupublish tafiti mbali mbali upate fund ili usife njaa.
 
Umemaliza🙏🏾
 
Wale ambao maombi yao yalifika kuanzia mwezi July 13 - 15.. ni takriban miezi miwili (2) sasa.. tunaendelea kusubiria vibali
 
Back
Top Bottom