HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu

Aliyopo TANESCO TTCL au TRC watupe abc za abc hali zipoje huko upande wa maslahi na upatikanaji wa nafasi za kuhamia upoje hasa vitengo vya ufundi.
Unataka kwenda wapi kati ya haya matatu
 
😂 Mkuu usirudie tena kudanganya wahuni, wahuni tuna kumbukumbu tena tunaweza hata kufukua makaburi ya threads kama ushahidi.. But Usiwaze kwani Vacancy si ulipata..?
Mkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli
 
Mkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli
Uko sahihi mkuu, maana ukipewa Ile barua utaanzisha normal transfer. Ukisha-attach baadae utakutana na Vacancy not budgeted. So hiyo imekuwa ni changamoto kubwa
 
Cv au Vyeti au other supporting documents kma Marriage certificate,Ripoti ya Daktari, Children Birth certificate inategemea na sababu ya uhamisho
Ilianza kama Vacancy request hii, manake CV ilikuepo... Vyeti vipo kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom