Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
ni changamoto Mkuu, kwa mtu mwenye scenario kama hio unamshauri achomoke vipi hapo?Uko sahihi mkuu, maana ukipewa Ile barua utaanzisha normal transfer. Ukisha-attach baadae utakutana na Vacancy not budgeted. So hiyo imekuwa ni changamoto kubwa