HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu vibali vipi huko kwenye ESS zenu tupeni mirejesho jamani
Hii week Haina vibe kabisa, vibali vimenuna.

Sema kuna wadau humu wanazingua.. Wakapata vibali wanafurahia wenyewe kimyakimya hawataki hata kutoa mrejesho ili wengine tuwe na imani
 
Vibali hutolewa Kila mwishoni mwa mwezi, kwahyo kwanzia tarehe 25 ndo mirejesho itaanza humu
Hili lina ukweli fulani hivi..
Last month kuanzia 25 mpaka siku 4 za mwanzo wa hii September watu wengi sana waliblesiwa na vibali
 
Pale unapo subiria kibali toka utumishi huwa kuna kafeeling fulani hivi ka kuingia Ess kila mara 😂😂
😂😂 Hatari sasa kaka,
Naona wanaendelea kujibu leo nimesikia kelele za vilio na vicheko😂
 
Utumishi wao ndo wataangalia kama nafasi ipo kule uendako mbona unatoboa kabisa kikubwa ulete ushuhuda ili tupeane moyo
Mrejesho:

Nilipo submit ile transfer request ikawa pending kwa mkuu wa idara (head of department hadi juzi nilipoambiwa:

STATUS:
Your transfer request is accepted, now you can submit for Authority approval


Sasa tangu hiyo juzi nikijaribu kufanya hiyo submission naambiwa:

Error: 9005
Process Failure

​
Msaada tafadhali kwa anayefahamu.
 
Back
Top Bottom