HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mnisaidie niliomba Vacancy ikawa ACCEPTED katika mfumo,baada wajibu likarud nianze kufanya transfer out,sasa inakuw a normal transfer after vacancy request,nimeanza huo transfer saivi iko kwa supervisor yan jana jioni tuko na supervisor naitafuta katika mfumo wake yaani ess yake haoni hayo maombi,na ndio ambaye hata tukianza anatapitishia ess.Shida itakuwa wapi ndugu
 
We subiri tuu, ikipita siku tatu itajipitisha yenyewe, hata kama hajaona
 
Hizi hizi nafasi kwa wale ambao hawaja timiza miaka mitatu kazini hawawezi omba pia??
Hoya wajumbe huu mzigo hujajaaa....
Kuna raia katuma jana (17/09) kakutana na nafasi na kashatuma maombi.
Na mkurugenzi kashampitishia, katumia Vacancy, hivyo anasubiri jibu la huko anakotaka kwenda.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wakuu naomba kuuliza, kama umeanza na vacancy request ikawa accepted ikaenda kwenye transfer that means hapo ni kusubiri tu kibali sio?

I mean ikipita kwenye vacancy hakuna tena vikwazo? Au ndo unaweza subiri af ikaja sema not budgeted and the likes
Subiri barua hapo.
Japo hujui mwajiri wako ali comment nini pale alipo approve.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Walinijibu 11/09 nianze na Vacancy Request.
👇👇
View attachment 3673226

Nika delete na kuanza upya kwa kutuma Vacancy Request, na Mkurugenzi wangu nishamjulisha, kasema mpaka juma3 atakuwa kashapitisha.
👇👇👇
View attachment 3673228

Pambano yaendeleee tusikate Tamaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kweli kaka hakuna kukata tamaa kwenye haya maisha.. Mungu akutangulie tena kwenye haya maombi mapya..
 
Hoya wajumbe huu mzigo hujajaaa....
Kuna raia katuma jana (17/09) kakutana na nafasi na kashatuma maombi.
Na mkurugenzi kashampitishia, katumia Vacancy, hivyo anasubiri jibu la huko anakotaka kwenda.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
KUMBE basi watu wachangamke
 
Mimi nimejaribu kufuatilia wadau wengi ninaowajua na waliopata vibali au hata kujibiwa kwa rejected, Watu wengi wanaotoka Halmashauri mbalimbali WANAJIBIWA HARAKA kuliko wale wanaotoka Taasisi to Taasisi.. Hii imekaaje wadau..!!
 
Back
Top Bottom