HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapana ni ....
1. Vacancy in Destination is already filled
2. Designation not found on Destination organisation

Inasema Vacancy Not Budgeted ikiwa umeomba nafasi kwenye Taasisi ambayo haipo kwenye ule mkeka.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unaniispire sana Kaka...
Hukati Tamaa 👏🏾👏🏾👏🏾
Unataka kuhamia vyuo ya Wizara ya Fedha nini
 
Unaniispire sana Kaka...
Hukati Tamaa 👏🏾👏🏾👏🏾
Unataka kuhamia vyuo ya Wizara ya Fedha nini
Sitaki Vyuo nataka Taasisi za Mpunga mrefu.
Na Mungu mwema NITATOBOA TU, Wakati wangu UTAFIKA TUUU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Preba de fisica
Chief nimeangalia mkeka ulioshare nikawa nafananisha na niliouona miezi kadhaa nyuma.

Nimegundua ni tofauti, wa miezi iliyopita ulikua una nafasi wa kada yangu kwa level ya daraja la 2 ofisi ya waziri mkuu. Ila huu hapa hauna so naamini ni mwingine.

Sasa swali langu ni kwamba huu mkeka hua unapatikana wapi? Ili nikitimiza miaka 3 nianze kupambania kuhama.

NB: Yeyote mwenye majibu anaweza kushare pia
 
Ukipata majibu nitag Mkuu

Natanguliza shukrani zqngu
 
Hongera sana, ulianza na Vacancy Request? Umehama na kada yako?
Nilianza kwa kusakanya nafasi, nikapata tip kuwa taasisi fulani ina uhitaji. Nikaandika barua kupitia kwa mwajiri wangu kuomba nafasi. Wakanijibu ombi limekubaliwa hivyo nianzishe mchakato kwenye ess. Nikaanza mchakato kwenye mfumo ila kila nikijaribu ikawa inaniambia vacancy not budgeted. Nikawasiliana na utumishi wakaniambia waambie wakuwekee nafasi kwanza. Then nikawaomba wakanibajetia, nilipoomba ikakubali. Mambo mengine yakaenda smoothly.
 
Back
Top Bottom