HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwahiyo umekaa miezi 8 ndio umepata kibali..?
Ila kuna mwenzangu yeye alipata baada ya miezi miwili tu.

Yeye alikuwa na connection hivyo ile taasisi ndio ilimuombea utumishi na wakaonesha wana uhitaji wa haraka hivyo ombi lake likashughulikiwa chaap.
 
At last umetoboa. Worth it kusubiri
 
Lilifika UTUMISHI 15/07/2026 na 11/09/2026 wamejibu.

Sio mimi tu Halmashauri yetu woteee wale ninaowajua washapokea majibu.

Nilituma normal transfer bila kuanza na Vacancy request.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Majibu kutoka utumishi?
You mean kibali?
 
Wadau, Hawa UTUMISHI wamefunga E-Tranfer Leo ijumaa Tena mapema sana, haifunguki kabisa.. Au ndio wanaweka vibali vyetu....?
 
Huu mkeka wa nafasi za uhamisho 26/27 zile taasisi kama nssf, pssf hazipo.

Hivi dart kuna maisha wakuu?
 
Ila kuna mwenzangu yeye alipata baada ya miezi miwili tu.

Yeye alikuwa na connection hivyo ile taasisi ndio ilimuombea utumishi na wakaonesha wana uhitaji wa haraka hivyo ombi lake likashughulikiwa chaap.
Hao wanaoombewa na taasisi husika ni chap sana. Kuna watu nawajua japo sio ofisini kwetu walisepa ofisini kwao kupitia huo mchakato, wakasepa fast kama upepo
 
Vacancy niliomba manualy, wakanijibu kisha wakareserve nafasi. Hivyo nikaomba transfer moja kwa moja.
Hello, Hivi barua uliyopokea imeandikwa uhamisho au imeandikwa kuazimwa...? Na barua ilipotoka utumish kwenda ofisin kwenu imechumua mda gan kuhamishiwa taarifa zako kwenda taasisi mpya
 
Haya mambo ya uhamisho/vibali yana-touch sana unaweza kusema bora hata aliyejibiwa Kwa wakati akaandikiwa rejected kuliko unayeendelea kusubiri huku hata Ujui lini utajibiwa na utajibiwa Nini..
 
Back
Top Bottom