HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu ivi umegundua kwamba saivi hata ukianzisha transfer request inasema "Vacancy not budgeted" so kwa maana hii hata ukipewa barua na taasisi husiku uka attach kupita transfer request still unafeli
Nenda kwenye hiyo taasisi unayotaka kwenda waambie wakuweke kwenye mpango@waweke bajeti yako.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Preba de fisica
Chief nimeangalia mkeka ulioshare nikawa nafananisha na niliouona miezi kadhaa nyuma.

Nimegundua ni tofauti, wa miezi iliyopita ulikua una nafasi wa kada yangu kwa level ya daraja la 2 ofisi ya waziri mkuu. Ila huu hapa hauna so naamini ni mwingine.

Sasa swali langu ni kwamba huu mkeka hua unapatikana wapi? Ili nikitimiza miaka 3 nianze kupambania kuhama.

NB: Yeyote mwenye majibu anaweza kushare pia
Wakuu hakuna mwenye jibu hapa?
 
Duuh mbona kasheshe hii, muda wa kuteseka bado ni mrefu sana aisee. Watesi wangu wataniua mpaka kibali kitoke yee 😁
Ulianza na Vacancy?
Ombi lako likifika UTUMISHI/TAMISEMI lini???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Halafu zile nafasi wakionesha kuwa ziko 2 ni kweli 2..? Kama hiyo yako ndio tuseme hadi Leo hakuna watu waliomba kufika hiyo idadi ya nafasi.! Lakini wewe Umeomba vacancy hivi karibuni na imeenda. Nashindwa kupata uhalisia haps
Huu mkeka huanza kuenea usiku wa kuamkia 01/July
Ni kutoka utumishi ila huenea tu kistaili ambayo haieleweki..!!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Halafu zile nafasi wakionesha kuwa ziko 2 ni kweli 2..? Kama hiyo yako ndio tuseme hadi Leo hakuna watu waliomba kufika hiyo idadi ya nafasi.! Lakini wewe Umeomba vacancy hivi karibuni na imeenda. Nashindwa kupata uhalisia haps
Watu hawaombi.
Nilikuwa nalenga Taasisi Mbili
Ya kwanza ilijibu ""Vacancy in Destination is already filled"" na nyengine ndio ikaenda.

Watu wavivu kuomba au zile stress za mchakato hawazitaki.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mkuu hapa kupata vibali hadi December, kama hali yenyewe ndio hii😭
Kuna jamaa wa June 20 namjua hadi leo hajapata kibali

Ila Kuna watu wa July wamepata.. Au ndio wanatoa vibali kwa nafasi za 2026/2027.?

Daah ni huzuni sana mkuu December parefu sana aisee.

Utumishi hawaeleweki yaani mi wameshanichosha.

Wakati wa Mungu utafika tu.
Kuna jamaa angu alisema "Lazima nihamie na kufanya kazi Dar""

Alihangaika miaka mi4 ila mwisho wa siku sasa hivi anamiaka mi3 yupo kazini Dar...!!!

Penye nia, pana njia.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Hivi wakuu kama unakoomba kwenda wamepitisha na mwajiri nae kapitisha.

Kuna uwezekano wa Utumishi kukukatalia.
 
Back
Top Bottom