HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu wale wenzio wa hapo ofisi ambao walianza na Vacancy na hawajajibiwa kama wewe, wakifanikiwa kupata vibali tunaomba utuletee mrejesho
Wapo wawili, ila mmoja ndio anafunguka ku-share info, na anasema "Mambo bado yapo Utumishi""

Wale wa4 wa "rejecred", wa3 maombi yapo kwa mkurugenzi na ameahidi kupitisha yoteeee.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wapo wawili, ila mmoja ndio anafunguka ku-share info, na anasema "Mambo bado yapo Utumishi""

Wale wa4 wa "rejecred", wa3 maombi yapo kwa mkurugenzi na ameahidi kupitisha yoteeee.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa tuendelee kusubiri maana watu wengi wamepiga simu wiki iliyopita waliambiwa waendelee kusubiri wiki inayoanza kesho au siku zote zilizobaki kuelekea October.. So tunaamini wiki hii inayoanza kesho watu tunaweza kufurahi
 
Wengine wanasubiri interview za OTR tokea mwezi wa 8 tarehe za mwanzoni..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuuliza sio ujinga.
Kuna sheria inabidi mtu atimize miaka mitatu ili aweze kupata nafasi ya transfer. Swali miaka 3 kwenye taasisi toka uajiriwe au miaka 3 ktk nafasi uliopo? Hapa namaanisha mfano uliajiriwa ktk taasisi X miaka 10 ktk nafasi fulani, then ukaongeza elimu recently ukapanda cheo je ni lazima usubiri miaka 3 ili kupata transfer?
 
Miaka mitatu ya kukaa kituo kimoja, haijalishi nafasi uliyonayo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Huyu jamaa S4RZTQ anapenda sana kulike tu comments za watu humu, yeye wala hatoi mrejesho au kama anasubiri kibali. Huyu atakuwa anatuchora Wapambanaji
Hapana mkuu, perception yako tu,
Mimi sijafikia vigezo vya kuhama [miaka 3 kazini] lakini nina mpango wa kuhama hivyo najifunza zaidi kupitia mijadala inayoendea hapa, issue ya kulike comments ni kuonesha shukran kwa mchangiaji ili next afunguke zaidi tujifunze zaidi.
Pia kuna watu wengi sana wanafatilia Lengo Kujifunza Mambo talivyo sio kumchora mtu ukizingatia tunatumia Id tu_
 
hujaelewa swali la jamaa Mkuu, Engineer zipo category nyingi kuna (civil,electrical, mechanical etc), sasa kwenye ESS unakuta mtu ni Electrical Engineer ila amesajiliwa kwenye Mfumo kama Engineer I/II n.k bila specific details...na kwenye ule mkeka utakuta tu wametangaza Engineer I/II silently bila ku specify ni Engineer yupi...so mdau hapo ndo anauliza anawezaje kujua au kupata details ni Engineer yupi wanamtaka
Mkuu shukrani sana umeeonyoosha vizuri swali nililolkua nahitaji kupata ufafanuzi shukrani sana hiki ndicho nilichokusudia hasa mtu anajuaje kama anahitajika engineer wa civil, elctrical etc. katika zile nafasi zinzotangazwa katika mkeka.
 
Mle ndani kuna taasisi nyingi za maana, ni kutuliza kichwa na kuanza kuusoma kwa umakini.
Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.

Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.

Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
 
STUKA M1 anaghadhibika kusubiri hadi December na yupo taasisi 😅😅😅 wenzake inabidi tusubiri mwaka wa tatu ili tuweze kuulizia vacancy
Screenshot_20260920-133530.png
 
Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.

Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.

Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
Hiyo inaitwa kupishana na gari la mshahara. Hivi DART panaeleweka kweli?
 
Back
Top Bottom