HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Labda kama upo taasisi kaka.

Afisa Lishe aliye halmashauri na afisa lishe aliye wizarani hawa ni watu wawili tofauti kaka
Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
 
Nakuomba Mkuu Mkeka ukiwa unatoka tu Uwe unatupia Chap natnguliza shukrani zangu au unaweza kushare mahali pa kuupata huo mkeka Mzee na huwa unatolewa muda gani kwa mwaka
Mi braza sina connection, ila ni ile nipo bar nagonga vyombo ghafla pdf hiyo whatsapp imetumwa na wadau.
Maana wadau kazini wanajua kuwa tokea 2022 mwamba nina hasira za kuhama.
Hivyo kwa kuwa tushatengeneza connection basi nitakuwa nautupa humu chap.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mzee tukutafute mwakani mwezi wa 6?
Nitautupia chapp
Maana masela wote wa mjini wanajua kuwa nina hasira za kuhamia mjini.
Maana tokea 2012 nipo Halmashauri moja ndichiii balaaaa.
Hivyo wakinitumia tu nautupia humu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
Hapo nimetoa mfano tu mkuu sijamaanisha wewe ni afisa lishe 😅
 
Mimi sio Afisa Lishe, Pia Halamashauri na Wizara mtatofautiana labda activities tu ila Salary ni SAME
Labda kama upo taasisi kaka.

Afisa Lishe aliye halmashauri na afisa lishe aliye wizarani hawa ni watu wawili tofauti kaka
Binafsi nahama pia sababu ya kulea familia mjini na kufanya mambo yangu njkiwepo muda wotee.
Tofauti na sasa nategemea sanaa watu, biashara zangu zipo mjini na mimi nipo Ndichi.
Kwahiyo inalilazimu kila ijumaa kuwasha boda au gari na kusogea mjini.
Hivyo nikiwa mjini MAMBO YANGU YATASONGA.

Kila mtu anasababu yake ya kuhama.

Mimi ni maslahi na potential ya kufika mbali kwa kada niliyopo.
 
Mi braza sina connection, ila ni ile nipo bar nagonga vyombo ghafla pdf hiyo whatsapp imetumwa na wadau.
Maana wadau kazini wanajua kuwa tokea 2022 mwamba nina hasira za kuhama.
Hivyo kwa kuwa tushatengeneza connection basi nitakuwa nautupa humu chap.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umetisha Man
 
Binafsi nahama pia sababu ya kulea familia mjini na kufanya mambo yangu njkiwepo muda wotee.
Tofauti na sasa nategemea sanaa watu, biashara zangu zipo mjini na mimi nipo Ndichi.
Kwahiyo inalilazimu kila ijumaa kuwasha boda au gari na kusogea mjini.
Hivyo nikiwa mjini MAMBO YANGU YATASONGA.

Kila mtu anasababu yake ya kuhama.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu Liverpool VPN wewe ulikwishasemaga unataka kwenye Maokoto maneno🤣🤣 acha kutukuna vichwa.🤣
Nyie jamaa acheni justifications zetu mara nahama kwa ajili ya carrier, sijui exposure. Mbona hamuendi Halmashauri za wilaya huko ndanindani.
Hapa ni salary nene, posho na safari za kutosha ndio tunataka, keki ya Taifa ni tam sana ukipata sehemu inayopatikana
 
Taasisi hizi tulizopo mishahara Iko vizuri kimtindo ila hakuna posho wala Safari za uhakika,, lazima tuzikimbie na good thing Utumishi kila mwaka wanaachie nafasi za kuhamia ili Wapambanaji tupambanie Green pasture 💚
Kuhama sio dhambi,
 
Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.

Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.

Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
Mkuu, unaweza share huo mkeka wa mwaka jana, just for reference
 
Taasisi hizi tulizopo mishahara Iko vizuri kimtindo ila hakuna posho wala Safari za uhakika,, lazima tuzikimbie na good thing Utumishi kila mwaka wanaachie nafasi za kuhamia ili Wapambanaji tupambanie Green pasture 💚
Kuhama sio dhambi,
yah Mkuu, mi mwenyewe niko taasisi tena Town kabisa ila taasisi haina activities za maana wala nini, af ukicheki uko town kabisa, bora hata aliepo halmashauri ndani hana expenses aisee
 
Sasa mkuu ishu inakuja kwamba salary hata useme uitunze vipi haikutani na salary ijayo.

Wakati kuna mshkaji kada moja ila yupo mahakamani anasema ana posho ya 1M kila mwisho wa mwezi.

So kwa mimi naona hapo ni fair kuliko nilipo sasa hivi
 
Back
Top Bottom