HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani naombeni ushuhuda nani humu ndani aliwahi kupata kibali cha uhamisho kupitia ess kwa kuomba vacancy kwanza na ilichukua takribani muda gani
Anza kusoma page ya 32 ya huu uzi, yupo mdada.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni kweli. Shida kada ya mtu na muda wa kituo alichopo mtu.

Mfano mimi mwaka jana sehemu ambayo kada yangu ilikua inahitajika na ni daraja la 2 na mimi niliona ziko poa ni ofisi ya waziri mkuu na DART.

Huu mkeka wa sasa kada yangu daraja la 2 hakuna taasisi yoyote zaidi ya halmashauri zingine. Badala yake naona anahitajika mtu wa daraja la 1, mwandamizi na Principal.
Umetisha ....
Kila mwaka unafatilia
Endelea kufatilia, mwaka wako UNAKUJA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mi binafsi kuanzia Diploma mpaka Masters nimesoma mambo ya fedha tuuu.
Hivyo nawazaga Wizara ya Fedha au Madini pamoja na Taasisi zao..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Naona info za DART zimejificha kiasi chake
 
Leo nimesearch ile sehemu ya kuchagua sehemu ya kuhamia nimekuta hadi TPDF na Police force unaweza kuhamia.

Ila kozi za arts hizi zina limit yake ila siyo mbaya. Tutajirekebisha kwa watoto wetu
 
K
Leo nimesearch ile sehemu ya kuchagua sehemu ya kuhamia nimekuta hadi TPDF na Police force unaweza kuhamia.

Ila kozi za arts hizi zina limit yake ila siyo mbaya. Tutajirekebisha kwa watoto wetu
Kabisa
 
Shida ni aina ya Fani pia zinazotakiwa kuna Fani mule unasoma unaona bora ubaki tu ulipo Mzee
Mle ndani kuna taasisi nyingi za maana, ni kutuliza kichwa na kuanza kuusoma kwa umakini.

Leo nimesearch ile sehemu ya kuchagua sehemu ya kuhamia nimekuta hadi TPDF na Police force unaweza kuhamia.

Ila kozi za arts hizi zina limit yake ila siyo mbaya. Tutajirekebisha kwa watoto wetu

Wachumi bana, Economist zipo nyingiiii za kumwaga.
Uchumi ni fani pana sanaa serikalini.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom