HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa mkuu ishu inakuja kwamba salary hata useme uitunze vipi haikutani na salary ijayo.

Wakati kuna mshkaji kada moja ila yupo mahakamani anasema ana posho ya 1M kila mwisho wa mwezi.

So kwa mimi naona hapo ni fair kuliko nilipo sasa hivi
Huyo jamaa Ako atakuwa yuko NPS au sio.. hao wanaposho kama unapanda kitonga
 
Wadau hii hali ina ninyimisha raha ya maisha 😭
Sioni chochote.. kuhusu ombi langu
markup_1000105674.png
 
Nitautupia chapp
Maana masela wote wa mjini wanajua kuwa nina hasira za kuhamia mjini.
Maana tokea 2012 nipo Halmashauri moja ndichiii balaaaa.
Hivyo wakinitumia tu nautupia humu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ila watu wanatofautiana, kuna wengine wanataka kuondoka Dar kwenda mikoani, wengine kinyume chake.
 
Huu umeupata wapi Mkuu mbona upo kwa Excel ule ulikuwa kwa PdF!?
Huo nimeweka hapa watu wauone na tusaidiane kujua ni wa lini.. Sema haya mambo ya mikeka ya uhamisho yana usiri sana. Mikeka inatoka watu wanayo na hawaseme kudadadeq zenu mnataka mhamie pekeenu
 
Huo nimeweka hapa watu wauone na tusaidiane kujua ni wa lini.. Sema haya mambo ya mikeka ya uhamisho yana usiri sana. Mikeka inatoka watu wanayo na hawaseme kudadadeq zenu mnataka mhamie pekeenu
Mkuu endelea hivyo hivyo, ukipata hio mikeka share aisee, watu wanaibania sana
 
Back
Top Bottom