HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mdau alicomment hii kitu sijui ni kweli
Changamoto hakunaga taarifa rasmi weng taarifa zao ni za kusikia, so hata ukisema akutajie mshahara wa hiyo taasisi hana taarifa za ukweli, hivyo tunabaki kusema tu kuwa hizi taasisi zinalipa vizuri bila kujua namba halisi
 
Nilianza na vacancy ika accept auto nikaendelea na kuinitiate now ipo kwa PO-PSMGG UTUMISHI tangu July 20
Hatutofautiani sana hizo siku. Halafu hii ya Auto wengi naona wanakuwa na wasiwasi kwani kuna mtu aliwahi kukataliwa kwa kuwa ombi lilienda Auto..?
 
Hawawezi kukataa maana mfumo ndo umesetiwa hivyo na wakuu wa hizo taasisi wameelekezwa usipofanyia kazi na ikaa auto na tasir yake umekubali
Me Huwa nawashangaa Hawa wanaowaza kuhusu Auto.. Yaan mfumo waset wenyewe halafu waje kuwahukumu watumiaji..!!

Japo mwaka jana wamehukumiwa sana watu, eti hawakuweka Halmashauri husika ya kuhamia. Kile kipindi Mfumo ulikuwa unaruhusu kuchagua mikoa tu then wao wanakuchahilia Halmashauri yenye nafasi. Hakukuwa na mambo ya Vacancy not budgeted
 
Tutatoboa tu Auto pia wana haki so tuache kuogopa mimi niliongea na mkuu wa taasisi hiyo ninayotaka kwenda nikamwambia ombi langu lilikuja kwenu ila limekubaliwa Auto na lipo utumishi wala hakushangaa
 
Back
Top Bottom