jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Hizi info mnazitoleaga wapi?Ule si ndio wa mwaka huu wanaendelea kuomba wadau..!!
Hizi info mnazitoleaga wapi?Ule si ndio wa mwaka huu wanaendelea kuomba wadau..!!
Tusishindane chief.Inshu sio kuupata inshu ulitoka na tangazo gani?mana hata website ya utumishi haupo umetembea tu kwenye ma group ya whatsapp kimya kimya.
Hiyo ikifika tu mbele kidogo itamkatalia lazima atakutana na vacancy not budgeted. PSSSF upate tu kirahisi hivyo Tena kwa kuanza na normal transfer 😁Ila vipaumbele vinamatter.
Kuna mwenzangu tupo ofisi moja na kada moja yeye tayari ni daraja la kwanza ananiambia ameomba kuhamia PSSF. Nikajiuliza mbona PSSF hata kwenye mkeka haipo?
Ameanza na normal transfer hajauliza hata vacancy. Halafu kwenye huu mkeka taasisi zinazotaka mtu wa kada na level yake zipo nyingi. Naona ofisi ya waziri mkuu, nemc, taa, wizara nne, dart. Nemc inawataka 6, taa inawataka 3.
Ila jamaa karisk location ambayo hata kwenye mkeka haipo
Huyo mwache asubiri hadi pdf ziwekwe kwenye web,, atakuta mkia😁Tusishindane chief.
Share info za kusaidia kujua kama kitu ni legit ama la. Na kama ni legit tukisema tunatafuta tunakitoa wapi?
Mfano miundo ya utumishi ya kada mbalimbali haipo mtandaoni lakini softcopies zipo na ndiyo miundo inayotumika.
Huu ni ukweli 100%, wahasibu wa taasisi mifumo inawabana ila afadhali taasisi niliyopo kidogo wana safari za kutosha so hawana stress za upigajiUshauri wangu kwa vijana kama wewe ni muhasibu au afisa manunuzi na uko halmashauri komaa hapo hapo ulipo cha muhimu tafuta kitengo tu kinachoeleweka ndani ya halmashauri kama expenditure tega nyavu hapo.
Taasisi hizi nyingine ni jau kila kitu kimenyooka hakuna konakona unaweza kutafuta hata buku ya vocha usipate kwa mwezi mzima.
Mimi sio muhasibu ila nimehamia taasisi moja lakini kila nikiangalia wahasibu niliowaacha halmashauri michongo yao wanayopata nikilinganisha na hawa niliowakuta hapa kwenye hii taasisi ni njaa tu.
Vipi umeshapitishiwa?Mnisaidie niliomba Vacancy ikawa ACCEPTED katika mfumo,baada wajibu likarud nianze kufanya transfer out,sasa inakuw a normal transfer after vacancy request,nimeanza huo transfer saivi iko kwa supervisor yan jana jioni tuko na supervisor naitafuta katika mfumo wake yaani ess yake haoni hayo maombi,na ndio ambaye hata tukianza anatapitishia ess.Shida itakuwa wapi ndugu
uwezi jua mpango wakeIla vipaumbele vinamatter.
Kuna mwenzangu tupo ofisi moja na kada moja yeye tayari ni daraja la kwanza ananiambia ameomba kuhamia PSSF. Nikajiuliza mbona PSSF hata kwenye mkeka haipo?
Ameanza na normal transfer hajauliza hata vacancy. Halafu kwenye huu mkeka taasisi zinazotaka mtu wa kada na level yake zipo nyingi. Naona ofisi ya waziri mkuu, nemc, taa, wizara nne, dart. Nemc inawataka 6, taa inawataka 3.
Ila jamaa karisk location ambayo hata kwenye mkeka haipo
mbona watu wanachomokaEss ni mtego TU wa kisaikolojia ulioletwa ku spin maendeleo ya watumishi plus wakuu wa taasisi wapate viburi Fulani vya ku twist mambo watakavyo!
Usiwe siriaz sana!Ess Ina operate vizuri kwenye mikopo kule ndio hakuna longo longo sana!
Lakini kwenye mambo mengine sijui E-likizo,E-transfer na kwingineko zile menu zipo kujaza server TU lakini kiuhalisia ni kama hazifanyi kazi ipasavyo!!
Labda kama unahama kwenye taasisi za wilaya husika navyo pia ni supervisor TU ndio anabadilika lakini hayo mengine ni tatizo maisha lisilo tatuliwa!
Wachache sana!na manual connection muhimu !Kuna baadhi ya wilaya Kuna makauzu aiseh!!mbona watu wanachomoka
Naelewa kwamba baadhi ya taasisi hazitumi essWadau hivi inakuwaje baadhi ya Designations hazitokei kwenye Taasisi husika. Unakuta Taasisi hiyo ina watu wa kada fulani na hata kwenye nafasi za mwaka huu zimewekwa ila uki-search hazitokei.. Au zikijaa huwa zina-disappear Auto..?
Kuna jamaa hapa ndio kastuka wiki hii anataka kuomba Taasisi fulani
Inaonekana umeandika experience lakini humuhumu kuna watu wanashare experience ya kutoka kupitia ess.Ess ni mtego TU wa kisaikolojia ulioletwa ku spin maendeleo ya watumishi plus wakuu wa taasisi wapate viburi Fulani vya ku twist mambo watakavyo!
Usiwe siriaz sana!Ess Ina operate vizuri kwenye mikopo kule ndio hakuna longo longo sana!
Lakini kwenye mambo mengine sijui E-likizo,E-transfer na kwingineko zile menu zipo kujaza server TU lakini kiuhalisia ni kama hazifanyi kazi ipasavyo!!
Labda kama unahama kwenye taasisi za wilaya husika navyo pia ni supervisor TU ndio anabadilika lakini hayo mengine ni tatizo maisha lisilo tatuliwa!
true ushuhuda n mwingiInaonekana umeandika experience lakini humuhumu kuna watu wanashare experience ya kutoka kupitia ess.
Kila mmoja na jinsi alivyoconfirm kwamba vacancy ipo wakaomba kuhama, ni kweli walisubiri ila mwisho waliondoka
Taasisi ipo kwenye mfumo. Kwanza sasa Taasisi nyingi zishawekwa kwenye mfumo hata barua ilitoka Utumishi kuwajulisha waajiri wote kuwa uhamisho ni kwenye mfumo tu.. labda kwenye vyombo vingine ambavyo mambo yao tofautiNaelewa kwamba baadhi ya taasisi hazitumi ess
Pengine hii ndiyo sababu?
Yawezekana anayo maelekezo hajarisk huyo mbane vizuri akwambie.Ila vipaumbele vinamatter.
Kuna mwenzangu tupo ofisi moja na kada moja yeye tayari ni daraja la kwanza ananiambia ameomba kuhamia PSSF. Nikajiuliza mbona PSSF hata kwenye mkeka haipo?
Ameanza na normal transfer hajauliza hata vacancy. Halafu kwenye huu mkeka taasisi zinazotaka mtu wa kada na level yake zipo nyingi. Naona ofisi ya waziri mkuu, nemc, taa, wizara nne, dart. Nemc inawataka 6, taa inawataka 3.
Ila jamaa karisk location ambayo hata kwenye mkeka haipo
Hapo hiyo error huwa inakuja iwapo kama unapotaka kuhamia ni either nafasi imeshachukuliwa na mtu ila bado haijajazwa ama KUNA UPUNGUFU WA WATU WA KADA YAKO!Mfumo umegoma hawa jamaa wanatuchezea kiini macho.
Mfano haya ma mikeka tunayoyaona humu jukwaani anaweza akaomba kuhama iwapo kuna nafasi ya muundo ya kuanzia mfano ECONOMIST II muhimu anaomba WITH RECATEGORIZATION UNATEMBEA MBELE.Mkuu ukiwa tayari LGA na Fani Moja ukasoma Fani nyjhgine unachokokaje hapo LGA Mzee