HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inshu sio kuupata inshu ulitoka na tangazo gani?mana hata website ya utumishi haupo umetembea tu kwenye ma group ya whatsapp kimya kimya.
Haya mambo ukiyaona wewe omba tu mkuu. Ukisubiri kuona website tayari watu wamehamia. kama yakigoma napo fresh tu muhimu hujatoa pesa kwenye mchakato.
 
Mfano haya ma mikeka tunayoyaona humu jukwaani anaweza akaomba kuhama iwapo kuna nafasi ya muundo ya kuanzia mfano ECONOMIST II muhimu anaomba WITH RECATEGORIZATION UNATEMBEA MBELE.
Mara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
 
inategemea
Mara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
Kuwa REJECTED sababu huwa ni nyingi kwani ili upate kuhama kuna vitu vinaangaliwa
1. Uzoefu iwapo unahitajika maana RECAT mara nyingi unaenda kuanza mwanzo yaani entry level
2. Idadi ya nafasi
3. Comments za mwajiri wako
 
yes,hapo kwenye comments za mwajiri
 
Mara nyingi hiyo error hutokana na network, hauchezewi mkuu
Kuna mtu nilimwombea uhamisho ila sasa halmashauri yao inaupungufu wa watu wa kada yake maana ni biomedical engineer. Ikawa inaleta ERROR ya DEFICIT sahizi imeacha tena kuleta hiyo error inaleta process failure
 
hapo wanajuaga wenyewe kwa kweli,ila nahisi huyu wa chini akiweka commnets nzuri juu hakuna shida
Btw, Comments kuna wakati hazina maamuzi sana kwa kuwa maana ya mfumo kwa sasa unataka watu watoke wengine waingie hivyo huwezi kumzuia mtu kwa comments zako maana hata katibu mkuu utumishi aliwahi kusema wao huko ndiyo wanajua upungufu wa watumishi kwani takwimu wanazo wao hivyo kama mtu anataka kuhama atahama tu bila kujalisha mwajiri wake anasema nini.
Iwapo unaupungufu wa watu wa kada hiyo tenga bajeti yako wasilisha kisha watu wanaotaka kuja kwako watakuja kwa maana mahitaji yako tayari umeanisha, Huwezi kukaa na upungufu na hautaki ku address tatizo na at the same time hutaki watu watoke
 
Kuna mtu nilimwombea uhamisho ila sasa halmashauri yao inaupungufu wa watu wa kada yake maana ni biomedical engineer. Ikawa inaleta ERROR ya DEFICIT sahizi imeacha tena kuleta hiyo error inaleta process failure
Kukiwa na deficit unaambiwa kabisa.

Kuna member alishare hapa aligewa majibu hayo
 
Yawezekana anayo maelekezo hajarisk huyo mbane vizuri akwambie.
Kuna jamaa yangu alichomoka kwa namna hiyo akatuma moja kwa moja NORMAL BILA VACANCY amekaa siku 21 akatembea kibali kikasoma GRANTED na kwenye mkeka ile TAASISI haikuwepo.
Ni mwaka huu au mwaka gani, alipata kibali lini..?
 
Hivi mnaongelea nini humu
Tunaona maluweluwe tu sisi bodaboda
 
Mara nyingi kwenye mfumo maombi with recategorization zinakuwa rejected maana kuna jamaa ilimkuta hiyo scenario maombi yake yakawa rejected
Waki-reject wanaweka na sababu kama wanavyowekewa wengine. Je, yeye aliambiwa sababu ni Nini..?
 
Hivi mnaongelea nini humu
Tunaona maluweluwe tu sisi bodaboda
Sasa wewe Afisa usafirishaji wa bodaboda umefata nini kwenye uzi wetu au wewe ni bodaboda wa hapo Halmashauri kuwaisha watumishi kazini basi fanya Recate ili uwe Afisa usafirishaji kwenye hiyo STM ya Halmashauri 😂
 
Wadau huu mwezi hauna matumaini kabisa ya kupata vibali kwa Wapambanaji..!!

Hebu sasa tujaribu kupiga simu Utumishi.. kwa hali tuliyonayo basi hata watudanganye tu kuwa watatoa wiki ijayo tutafurahi
 
Taasisi ipo kwenye mfumo. Kwanza sasa Taasisi nyingi zishawekwa kwenye mfumo hata barua ilitoka Utumishi kuwajulisha waajiri wote kuwa uhamisho ni kwenye mfumo tu.. labda kwenye vyombo vingine ambavyo mambo yao tofauti
Nafijiri sio Taasisi zote zipo kwenye mfumo japo nyingi zipo mfano hutokaa uhame kutoka RRH kwenda RRH kwa mfumo kwanza hata kuipata tu ni kasheshe au kwenda vyuo vya kati wizara ya Afya
 
Mwaka huu mwezi wa SABA. Alitoka LGA kwenda TAASISI.
Normal transfer hii ambayo watu wanakula rejected Kila siku. Huyo labda alikuwa na mtu Utumishi, ombi likapita chap kama upepo
 
Nafijiri sio Taasisi zote zipo kwenye mfumo japo nyingi zipo mfano hutokaa uhame kutoka RRH kwenda RRH kwa mfumo kwanza hata kuipata tu ni kasheshe au kwenda vyuo vya kati wizara ya Afya
RRHs ziko chini ya Wizara, hivyo ukitaka kuhama Moja kwenda nyingine unaomba Wizarani me ndio najuaga hivyo. Mfano, hata hizi hospital za wilaya au Halmashauri za miji zipo chini ya Halmashauri husika. MNH, JKIC, BMH hizi ni Taasisi zinajitegemea na kwenye mfumo zipo
 
Back
Top Bottom