HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.
 
Kama wewe ni Mimi mtupu
 
Internal una maana gani..? kama uhamisho ulipitia Utumishi si ndio haohao wenye Mamlaka ya kuhamisha mtumishi yeyote bila kujali anatokea Taasisi gani.
Vipi kuhusu Taasisi zilizo ndani ya Wizara Moja, si Bado Mfumo au Utumishi wanahusika..?
Mkuu Ma katibu wakuu ndani ya wizara husiku huwa wana mamlaka ya kumwamisha mtumishi yoyote ndani ya taasisi yotote iliyomo wizara yake.
 
Sijui kama ni wao Huwa wanafungua ila nilitakiwa nianze Normal transfer ili niweke Ile barua, huko mbele nikakutana na ugonjwa wa Taifa Vacancy not budgeted.. Sitaki kusikia hii kitu imeniumiza sana
Mkuu kwa hio baada ya kupata barua from hio taasisi nakukutana na vacancy not budgeted kwenye normal transfer, ndo uka give up kwa style hio? (kwenye hio taasisi uliopata barua toka kwao)
 
R
Nafijiri sio Taasisi zote zipo kwenye mfumo japo nyingi zipo mfano hutokaa uhame kutoka RRH kwenda RRH kwa mfumo kwanza hata kuipata tu ni kasheshe au kwenda vyuo vya kati wizara ya Afya
RRH sio taasis,zote hizo zipo chini.ya wozara ya afya hivyo.unaomba kuhamia.wizara ya afya huko ndio utaomesha katika bafua yako unataka kuhamia RRH.
KUna pediatrician kahama kutoka Bukoba RRH kuhamia Kigoma RRH ila ni kupitia wizara ya afya(ministry of health)
 
Mkuu kwa hio baada ya kupata barua from hio taasisi nakukutana na vacancy not budgeted kwenye normal transfer, ndo uka give up kwa style hio? (kwenye hio taasisi uliopata barua toka kwao)
Sema nilipambana sana mkuu mambo mengine ni ya kiundani zaidi.
Je, kwa mawazo yako ungenishauri nifanyaje..?
 
Back
Top Bottom