HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kwema, kuna mshikaji wangu kada ya afya alihama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine kwa connection, tangu ahame ni mwaka sasa ila mpaka leo mshahara wake unasoma halmshauri aliyotoka,
Je afanyaje ili taarifa zake zisome halmashauri aliyohamia
 
Wakuu kwema, kuna mshikaji wangu kada ya afya alihama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine, tangu ahame ni mwaka sasa ila mpaka leo mshahara wake unasoma halmshauri aliyotoka,
Je afanyaje ili taarifa zake zisome halmashauri aliyohamia
Ah 😅 hii imetokea nilipo pia.

Inabidi afanye kuwasiliana na alipotoka na alipo ili wahamnishe taarifa zake.
 
Internal una maana gani..? kama uhamisho ulipitia Utumishi si ndio haohao wenye Mamlaka ya kuhamisha mtumishi yeyote bila kujali anatokea Taasisi gani.
Vipi kuhusu Taasisi zilizo ndani ya Wizara Moja, si Bado Mfumo au Utumishi wanahusika..?
Skywalker00 naomba utoe majibu vizuri mkuu hapa
 
Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.
Bora wewe kuna sisi kila tunapogusa


VACANCY NOT BUDGETED tumeamua kutulia tu
 
Mkuu ni kweli unachosema, ila wizarani kuna EDA ndo zinawabeba sana,mie nina mshikazi yupo wizara mojawapo EDA ni Milioni 1.5 kwa mwezi
Mzee ninajamaa yupo Wizara pia Salary yake ni yakawaids tu ila zile activities sasa duuh kuna muda hadi namuonea Wivu kabisa, Ushapiga kazi mikoani huko zaidi ya siku 50+ afu kila siku ni 150K Per Diem Mzazi!?
 
R

RRH sio taasis,zote hizo zipo chini.ya wozara ya afya hivyo.unaomba kuhamia.wizara ya afya huko ndio utaomesha katika bafua yako unataka kuhamia RRH.
KUna pediatrician kahama kutoka Bukoba RRH kuhamia Kigoma RRH ila ni kupitia wizara ya afya(ministry of health)
Nimekusoma Man
 
Ila vipaumbele vinamatter.

Kuna mwenzangu tupo ofisi moja na kada moja yeye tayari ni daraja la kwanza ananiambia ameomba kuhamia PSSF. Nikajiuliza mbona PSSF hata kwenye mkeka haipo?

Ameanza na normal transfer hajauliza hata vacancy. Halafu kwenye huu mkeka taasisi zinazotaka mtu wa kada na level yake zipo nyingi. Naona ofisi ya waziri mkuu, nemc, taa, wizara nne, dart. Nemc inawataka 6, taa inawataka 3.

Ila jamaa karisk location ambayo hata kwenye mkeka haipo
Economist I.

Hawa mwaka huu ni bataa sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Naam mkuu, Ess nina uzoefu nayo kidogo kwani nimeshatumia uhamisho watu wa kada mbalimbali na nimekutana na errors nyingi pia. Kuna ipo moja ambayo Kama ofisini kwenu kwa cheo chako mko wachache nayo inagoma
Mimi niliteseka nayo miaka miwili, ilikuja kukubali walivyokuja ajira mpya wawili.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wadau hivi inakuwaje baadhi ya Designations hazitokei kwenye Taasisi husika. Unakuta Taasisi hiyo ina watu wa kada fulani na hata kwenye nafasi za mwaka huu zimewekwa ila uki-search hazitokei.. Au zikijaa huwa zina-disappear Auto..?
Kuna jamaa hapa ndio kastuka wiki hii anataka kuomba Taasisi fulani
Mi nimekutana na jibu hili Wizara ya Madini, Wizara ya Fedha Hazina.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Third year natimiza 2027 July. Huu uzi utanipa wenge kwa kipindi hichi.

Kama bado utakuepo tukutane mwaka huo
 
Kwani Mamlaka kuna nn maana wengi wanapenda kukimbilia huko kuliko kwenda Wakala (Agency)?
Mamlaka hawa wana nguvu ya ku operate na kutunga sheria ya Jambo flan hawa hata kwny issue Za kiutumishi wanaweza set standard zao wao km wao kwny posho wakijifungia ndani wanakuja na muongozo wao hawaingiliwi kwny maamuzi Mfano TCRA, TCAA, LATRA, TMA, NIDA, EWURA,TMDA,TRA
Agency au Wakala hawa wanafanya kwa niaba ya wizara au serikali juu Kila wanachofanya kinahitaji kuwa approved na wizara kwanza Mfano TARURA, Tanroad, temesa
 
Mamlaka hawa wana nguvu ya ku operate na kutunga sheria ya Jambo flan hawa hata kwny issue Za kiutumishi wanaweza set standard zao wao km wao kwny posho wakijifungia ndani wanakuja na muongozo wao hawaingiliwi kwny maamuzi Mfano TCRA, TCAA, LATRA, TMA, NIDA, EWURA,TMDA,TRA
Agency au Wakala hawa wanafanya kwa niaba ya wizara au serikali juu Kila wanachofanya kinahitaji kuwa approved na wizara kwanza Mfano TARURA, Tanroad, temesa
Na vipi upande wa TARURA, kupo vizuri kwenye mshahara na marupurupu au hohe hahee?
 
Back
Top Bottom