Ivi serekalini washalipa mshahara wote?1. Mamlaka (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)
Ishi humo, utakuja kunishukuru.

Mfumo unafanya kazi kwenye exchange tu,kwengine ni kiini macho...watumishi tuukataeni huu mfumo umekuja kuondoa haki ya uhamisho.Nimegundua normal transfer inaku- marinate kwanza kabla ya kukubamiza
lakini Vacancy request inakubamiza hapo hapo haikucheleweshi
SijajuaHivi ni kwanini dirisha la etransfer tu ndio hua linaleta wenge na sio mengine?
Wenye hili ni jibu Hazina chiefIvi serekalini washalipa mshahara wote?
Mkuu eGA ni e-Government Authority, we ndo inabidi uangalie kirefu cha taasisi vzuriMamalaka ni Authority
Sasa wewe umeweka na Agency umeziita mamlaka😁 kwenye orodha yako kuna Taasisi,Agency na mamlaka
Usich1nganye eGA ni e-Government Agency,TBS ni Taasisi
Uwe unaangalia virefu vya Taasisi mkuu
Ukiona kuna neno Authority jua ni mamlaka
Sidhani kama taasisi zinaweza kufungua huo mfumo bila kuomba kibali kwa katibu mkuu utumishi.ulijaribu kuwacheki kule walikokupa barua kuhusu swala la vacancy not budgeted kwenye mfumo?
Nakushauri mapema bora utumie njia nyingine ila huu mfumo utakudissapoint.Third year natimiza 2027 July. Huu uzi utanipa wenge kwa kipindi hichi.
Kama bado utakuepo tukutane mwaka huo
eGA ilishakuwa mamlaka muda sasaMamalaka ni Authority
Sasa wewe umeweka na Agency umeziita mamlaka😁 kwenye orodha yako kuna Taasisi,Agency na mamlaka
Usich1nganye eGA ni e-Government Agency,TBS ni Taasisi
Uwe unaangalia virefu vya Taasisi mkuu
Ukiona kuna neno Authority jua ni mamlaka
Ilivyoanzishwaga ndio ilikuwa Agency ila ni muda sasa tangu iwe mamlaka na ndio wanaosimamia ict yote serikaliniMkuu eGA ni e-Government Authority, we ndo inabidi uangalie kirefu cha taasisi vzuri
Hata kwangu na pia mpaka inagoma kufungukaSYSTEM INA LOAD TU
Kwa baadhi au kwa wote kama inaload tujue vibali vinatoka au laVibali hivyo kaka vinaload
Kwenye mkeka hizi taasisi zimetoa nafasi chache sana1. Mamlaka (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)
Ishi humo, utakuja kunishukuru.
Mbona Watu wanahama kutoka hamashauri moja kwenda nyingine na wanatumia mfumo.sasa Mkuu huu si uhamisho ndani ya wizara mzee(wizara ya afya), hapa watu wanaongelea kuhama taasisi, wizara moja kwenda wizara nyingine achana na hizo za internally ndani ya wizara
Sina uthibitisho zaidi ya hearsay mkuuUna uthibitisho wa hili uliloliandika hapa..?
Mapema you mean majibu kutoka taasisi unayotaka kwenda sio?Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer request
Kumbe Bado haifunguki.. ngoja nijaribu nami nijioneeModule ya transfer imegoma kabisa
Angalia shughuli wanazofanya. Nilipaswa kuandika Udhibiti/Mamlaka. Hivi vitu vinategemeana, ili uweze kudhibiti lazima uwe na mamlaka.Mamalaka ni Authority
Sasa wewe umeweka na Agency umeziita mamlaka😁 kwenye orodha yako kuna Taasisi,Agency na mamlaka
Usich1nganye eGA ni e-Government Agency,TBS ni Taasisi
Uwe unaangalia virefu vya Taasisi mkuu
Ukiona kuna neno Authority jua ni mamlaka
Sina taarifa na hilo mkuu.Ivi serekalini washalipa mshahara wote?
Bado bila bilaaKumbe Bado haifunguki.. ngoja nijaribu nami nijionee
Huu mtandao ukirudi lazima urudi na vibali.. nimesikia tetesi kuwa sasa wanataka kuweka vibali vyote kwa pamojaBado bila bilaa
Module ya transfer imegoma kHata