HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.

Hii kitu ya kuwazia kibali tupo wengi mkuu Mood ya kazi imekata
 
Yaani issue ya kusubiri kibali ni psychological torture, Sina hamu. Muda wote unalazimika kuwa na bado ili uperuziperuzi mtandaoni kama Kuna jipya. Mie hata mood ya kazi Sina nawaza tu kibali kinatoka lini au la!.
Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.
 
Sio kila taasisi zipo vizuri kuna jamaa nimeona hapo juu anataka kwenda taasisi za elimu. Kule kama wewe sio upande wa academic usiende haswa hivi vyuo vikuu labda zile zilizo chini ya wizara ya fedha(ifm, tia)
 
Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.
Wewe utakuwa umejibiwa, piga simu uunganishwe na IT's kuna jamaa alifanyiwa hivyo akafanikiwa kuona.

Huwa unavyo-comment humu kuwa una miezi nane hujajibiwa binafsi unanitengenezea hali ya kuogofya na hata watu wengine wanaosubiri vibali ambao ndio kwanza tuna miezi 2 na siku kadhaa.

Mbona watu WANAJIBIWA around 3-4 months..!!!
 
Mimi ndiyo nakwambia mkuu inaenda miezi 8 sasa bila bila. Kama mdau aliyesema hapo juu yeye alipata baada ya miezi 8. Nishafanya mawasiliano nao walisema nisubiri.
 
[

Walikwambia kusubiri hadi lini..?

Na ni vacancy kabisa mkuu
 
[
Walikwambia kusubiri hadi lini..?

Na ni vacancy kabisa mkuu
Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.

Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi.

Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
 
utumishi au tamisemi
 
Haya maisha bhana,, sema inabidi hata watudanganye kuwa wiki ijayo inasaidia sana kushuka munkali😁
 
Yaani hakuna hata dalili ya majibu maana hata Utumishi hawatoi hata tamko kuhusu maombi yetu watoe tamko tuwe na amani
 
Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri.

Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi.

Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
utumishi au tamisemi
 
Maisha ya Kiseng* sanaa sometimes
LG wanataka Taasisi
Taasisi wanataka Mamlaka
Mara sijui nani anataka wakala.

Dah, tumekuja duniani kuteseka tu.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
1. Mamlaka/Udhibiti (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)

Ishi humo, utakuja kunishukuru.
 
1. Mamlaka (EWURA, PPRA, PURA, TCRA, LATRA, eGA, SSRA, TIRA, DCEA, TASAC, GBT, TCAA, NCAA, TRA, TBS, etc.)
2. Mifuko (USCAF, PSSSF, NSSF, WCF, NHIF etc.)

Ishi humo, utakuja kunishukuru.
Mamalaka ni Authority
Sasa wewe umeweka na Agency umeziita mamlaka😁 kwenye orodha yako kuna Taasisi,Agency na mamlaka
Usich1nganye eGA ni e-Government Agency,TBS ni Taasisi
Uwe unaangalia virefu vya Taasisi mkuu
Ukiona kuna neno Authority jua ni mamlaka
 
Back
Top Bottom