kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
ila ninacho amini kama wao wenyewe ndio wametoa ruhusa ya vacancy ,basi vibali lazima watoeYaani iko busy mfumo unachambuaa tu saa hizi
ila ninacho amini kama wao wenyewe ndio wametoa ruhusa ya vacancy ,basi vibali lazima watoeYaani iko busy mfumo unachambuaa tu saa hizi
Inabidi hii Derby ya tar 10 watu tukaangaalie tukiwa vituo vipya vya kazi..ila ninacho amini kama wao wenyewe ndio wametoa ruhusa ya vacancy ,basi vibali lazima watoe
Inabidi hii Derby ya tar 10 watu tukaangaalie tukiwa vituo vipya vya kazi..
ila ninacho amini kama wao wenyewe ndio wametoa ruhusa ya vacancy ,basi vibali lazima watoe
hhhah kwa kweliHahaha jamaa una 🔥 balaa
Inabidi hii Derby ya tar 10 watu tukaangaalie tukiwa vituo vipya vya kazi..Ameen
Inshallahwadau maombi yangu yamefika tarehe 12 mwezi huu utumishi lakini experience ya kusubl majibu sio ya kitoto! Safari ni ndefu na mungu atusaidie
Wewe endelea kusali na kuomba, hakuna uhakika kwamba ukichelewa ndio unachelewa kupata kibali.. Kuna watu wa July wengi washajibiwa ila wa june hamna kituwadau maombi yangu yamefika tarehe 12 mwezi huu utumishi lakini experience ya kusubl majibu sio ya kitoto! Safari ni ndefu na mungu atusaidie
Halmashauri kwenda taasisi?wadau maombi yangu yamefika tarehe 12 mwezi huu utumishi lakini experience ya kusubl majibu sio ya kitoto! Safari ni ndefu na mungu atusaidie
Ukiona ombi liko Utumishi basi ujue muhusika ni Wizarani au TaasisiHalmashauri kwenda taasisi?
Sawa boss nimekuelewa tusubili majibu tuliochelewaUkiona ombi liko Utumishi basi ujue muhusika ni Wizarani au Taasisi
Na wewe unasubiri kibali..?Sawa boss nimekuelewa tusubili majibu tuliochelewa
Natoka shule(local government) to mamlaka…niliomba vacancy kupitia mfumo nikawa accepted then nikaenda on transfer.Halmashauri kwenda taasisi?
Alipiga With recategorization au sioNatoka shule(local government) to mamlaka…niliomba vacancy kupitia mfumo nikawa accepted then nikaenda on transfer.
ongera tusubili majibu bossNatoka shule(local government) to mamlaka…niliomba vacancy kupitia mfumo nikawa accepted then nikaenda on transfer.
Hivi ukiomba vacancy, mwajiri anaona?Natoka shule(local government) to mamlaka…niliomba vacancy kupitia mfumo nikawa accepted then nikaenda on transfer.
Ndio anaona, atapitishaje bila kuomba ombi lako😁Hivi ukiomba vacancy, mwajiri anaona?