HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.

2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
 
Quality Assurance ni kada yoyote ile. Inatokana na field ya Taasisi (Yaan taasisi inafanya majukumu yapi haswa)
Mfano TBS wapo hao QAO kwa watu walioomba engineering tofautitofauti, Food science n.k
 
1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.

2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
1. Huwezi kufanyiwa recate kwa Cheti cha Masters. Masters ni added advantage na hukusaidia kupanda madaraja, ila masters haiajiri. ili uwe afisa manunuzi lazima ukasome tena degree ya manunuzi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom