codeless
Member
- Jul 6, 2024
- 22
- 16
Itakkuwa wameondoa ,haya maboresho ya mara kwa mara hasa wikendsYani hata sielewi
Itakkuwa wameondoa ,haya maboresho ya mara kwa mara hasa wikendsYani hata sielewi
Waombe wakupitishie,, japo Kuna wengine ukiwasimbua wanaku-reject
Itakkuwa wameondoa ,haya maboresho ya mara kwa mara hasa wikends
Yangu ina wiki ya pili IPO kimya haijaenda automaticallySiku 10
Yangu ina wiki ya pili IPO kimya haijaenda automatically
Ukute inasom kwa head of institution yake🤣Ipo hatua ipi?
Ukute inasom kwa head of institution yake🤣
Hahahaha awataki usumbufuWaombe wakupitishie,, japo Kuna wengine ukiwasimbua wanaku-reject
Mkuu, wewe Nadhani unafahamu milolongo au hatua zote za uchakataji maombi hadi kibali/vibali vinatoka.. naomba utusanue hapa,,, maana jamaa angu hapa ye anapendaga kupiga simu lakini anaambia ombi lake linashughulikiwaHakuna jambo ambalo Huwa linakosa deadline, kwahyo ,, inawezekana changamoto mnazo zimention saivi nikwasababu tarehe ya mwisho ya kuomba nafasi izo imepitia,
Na maombi yalifika ndani ya muda yapo yanafanyiwa kazi, ili watakaobahatika waende wakazibe nafasi izo zilizokuwa wazi.
Kabisa jamaa anatoa factsMkuu, wewe Nadhani unafahamu milolongo au hatua zote za uchakataji maombi hadi kibali/vibali vinatoka.. naomba utusanue hapa,,, maana jamaa angu hapa ye anapendaga kupiga simu lakini anaambia ombi lake linashughulikiwa
Yaaah, ngoja nimkaribishe pia @ProcrastinatorInChief huyu ana ufahamu vizuri mfumo wa ESS na anasema ni Mkufunzi wa huu mfumo.Kabisa jamaa anatoa facts
SawaNdio anaona, atapitishaje bila kuomba ombi lako😁
OkayNdio anaona, atapitishaje bila kuomba ombi lako😁
Sifahamu,, lakini tuwe na subra tuu Ninachoamini nikwamba ombi lako kama limefika UTUMISHI kupitia module ya vacancy request basi una asilimia zaidi ya 80 ya kupata nafasi kwasababu kazi kuu ya ofisi ya katibu mkuu Utumishi ni kuidhinisha Kibali tuu, izo 20% za kukosa ni ama labda uwe umeomba vacancy ambayo kimsingi Hauna sifa nayo au bajeti ya iyo nafasi imeshatumiwa/nafasi imezibwa na ajira mpya( japo hii ni kiduchuu), au salary mismatch ( tofauti kubwa sana ya salary kati ya unakohamia na ulikotoka).Mkuu, wewe Nadhani unafahamu milolongo au hatua zote za uchakataji maombi hadi kibali/vibali vinatoka.. naomba utusanue hapa,,, maana jamaa angu hapa ye anapendaga kupiga simu lakini anaambia ombi lake linashughulikiwa
Orodha ya taasisi za kawaida ni kama zipi?Tafuta taasisi za kawaida zile taasisi zenye asali nono nafasi hakuna
Nimekuelewa naiacha week moja tu.Ikifika ijumaa week ijayo nafuta natafuta nyinginePole sana.
Nafasi nyingi zilishachukuliwa, Tafuta taasisi nyingine chap kabla nazo hazijajaa.
Huyo aliyekushauri kuwa uache kwanza sawa, ila kwa namna fulani inakuwa ni kubahatisha zaidi. Ningekuwa ni wewe ningevumilia kidogo kama wiki then ningefuta ili Nitafutie Taasisi nyingine. Maana unaweza kuiacha siku zote na isikubali huku unazikosa nafasi zilizo wazi kwa sasa.
Chuo ,as Tutorial Assistant tuNi Taasisi gani?
NItafamya hivyoTafuta taasisi nyingine maana ,hiyo Taasisi ujui lini wataomba kibali Tena Utumishi,kwa kawaida taasisi yenye uhitaji inaomba kibali utumishi,Utumishi wakisha toa kibali basi vacancy inakuwa free kupokea wanahitaji,Bora utafute taasisi nyingine
Tunashukuru so watu tuwe wapole tuSifahamu,, lakini tuwe na subra tuu Ninachoamini nikwamba ombi lako kama limefika UTUMISHI kupitia module ya vacancy request basi una asilimia zaidi ya 80 ya kupata nafasi kwasababu kazi kuu ya ofisi ya katibu mkuu Utumishi ni kuidhinisha Kibali tuu, izo 20% za kukosa ni ama labda uwe umeomba vacancy ambayo kimsingi Hauna sifa nayo au bajeti ya iyo nafasi imeshatumiwa/nafasi imezibwa na ajira mpya( japo hii ni kiduchuu), au salary mismatch ( tofauti kubwa sana ya salary kati ya unakohamia na ulikotoka).
Tuwe wapolee tu,, kuku wakwako manati ya nini😀,,, Nafasi kama zilitangazwa zipo wazi basi lazma watu wazizibe , na watu wakuziba ni sisi ,, ....Fueni Mabegi tu Mguu wa kutoka🙏🙏