Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Yaan mwezi September tuliupokea kwa matumaini sana ila unachotufanyia duuuh, umetusaliti kwa kweli. Hapa tusikilizie tena OctoberBila Bila hata VFS imekataa
Yaan mwezi September tuliupokea kwa matumaini sana ila unachotufanyia duuuh, umetusaliti kwa kweli. Hapa tusikilizie tena OctoberBila Bila hata VFS imekataa
Vibali kuanzia 25 Hadi 3 kama alivyo sema mdauYaan mwezi September tuliupokea kwa matumaini sana ila unachotufanyia duuuh, umetusaliti kwa kweli. Hapa tusikilizie tena October
Kwani 25 sio Jana..!!Vibali kuanzia 25 Hadi 3 kama alivyo sema mdau
Interval hiyo harafu sio wote wapo jamii forumKwani 25 sio Jana..!!
Your institution ilipita Auto..?
Mfumo una option nyingi wanajua ma adminNdio(hatua ya vacancy request) mana bado sijafika transfer
Mfumo una option nyingi wanajua ma admin
Hahahahahah kwanini mkuu..?Endeleeni kujipa moyo na matumaini hewa.
Eheee maana Kuna mtu mwingine kwa accounting officer inajaa zaidi ya siku 10Kwakweli
Ilikuwa tengeru hioJaribu IAA au TCID
Ushuhuda ni kwamba Kuna watu wamewahi kupata vibali weekend(Jumamosi & Jumapili)Kwani weekend wanafanya kazi? Vibali vinatokaje siku za weekend?
HowEndeleeni kujipa moyo na matumaini hewa.
InshallahKuna mdau ameniambia vibali vitatoka kabla mwezi haujaisha
Lengo la module ya uhamisho ni kulimiti movement za uhamisho kwa watumishi wa umma na sio kurahisisha.Hahahahahah kwanini mkuu..?
Ina limit na pia inarahisisha. Zamani watu walikuwa wanahama kwa barua za kufoji, haijaisha ila itapunguza.Lengo la module ya uhamisho ni kulimiti movement za uhamisho kwa watumishi wa umma na sio kurahisisha.
Ni speed gavana ya uhamisho..wajinga ndio watadhani mfumo umekuja kuwakomboa.
Mkuu hebu ongea vizuri kwa herufi kubwa kwanza😁.. umeambiwa na mtu ambaye yuko jikoni kabisa pale Utumishi..?Kuna mdau ameniambia vibali vitatoka kabla mwezi haujaisha