HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Aaaaah huu uzi unatembea sana unakaribia kuufikia ule uzi wa taasisi zinalozlipa vizuri tanzania
 
1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.

2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante
Hapana hii labda uende chuo kiongozi ndo utakuwa mwalimu wa ugavi
 
Back
Top Bottom