kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
Huyu anaomba km dereva kuhamiaHawa tcra na ewura sidhani kama wana safari sana haswa kwa level ya diploma, wenye safari labda inspectors
Huyu anaomba km dereva kuhamiaHawa tcra na ewura sidhani kama wana safari sana haswa kwa level ya diploma, wenye safari labda inspectors
Rahaaa ya kaz n poshoo sio mshahara mkuuUnafahamu Kuwa Hawa Jamaa Walibadilishiwa Scale zao Wakawa Wanawazidi Tanroads??
Wewe hujapata kibali..?mbona huku mtaan karibu na shule naona waalimu wanapiga mayowe ya furaha😁Ess e-uhamisho imerudi leteni ushuhuda wa vibali sasa
Status hazitaki kubadilika, zimegomaMimi huyu kabsaa dah
Watupe hizo connection tuachane na hizi stress za kusubiria GRANTED/ REJECTEDWewe hujapata kibali..?mbona huku mtaan karibu na shule naona waalimu wanapiga mayowe ya furaha😁
HahahaEndeleeni kujipa matumaini hewa.
Fuata ndoto zakoNasubiri majibu kuhusu NBS kama ni patamu niingie kwenye mfumo chapu STUKA M1
Mbona ulishaambiwa kuwa kupo vizuri..!!Nasubiri majibu kuhusu NBS kama ni patamu niingie kwenye mfumo chapu STUKA M1
Matumaini hewa au sio😁Endeleeni kujipa matumaini hewa.
Kwa kweli tumekata tamaa. Me najipa likizo kuanzia kesho sitoingia kwenye huu Uzi wala kwenye ESS yangu 😁Watumishi mmekata tamaa na ESS mko kimya
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.Kwa kweli tumekata tamaa. Me najipa likizo kuanzia kesho sitoingia kwenye huu Uzi wala kwenye ESS yangu 😁
Sio mbaya inatupa matumaini kwa wengine kwa kuamini wanafanyia kazi maombi yetu, Vipi maombi yako yalifika UTUMISHI tarehe ngapi?6
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.
Kwamba wakala ni winga 😂Kuna tofauti Kubwa Sana kati ya Wakala na Mamlaka! Ogopa neno Mamlaka😎