Uliomba Taasisi Gani?wamekujibu mapema sana
Uliomba Taasisi Gani?wamekujibu mapema sana
sio mimiUliomba Taasisi Gani?
Kimsingi nazani Auto ina ukakasi sana kwa UTUMISHI kufanya maamuzi fikilia.nahisi hapo ishu sio Auto accepted ,ishu je nafasi ipo unapo kwenda,UTUMISHI wapo makini sawa
Sasa tuambieni Utumishi wanathibitishaje kuwa mwombaji amepata nafasi wazi..?nahisi hapo ishu sio Auto accepted ,ishu je nafasi ipo unapo kwenda,UTUMISHI wapo makini sawa
Nahisi mpaka unapotaka kwenda wathibitiaheSasa tuambieni Utumishi wanathibitishaje kuwa mwombaji amepata nafasi wazi..?
Kada ya marine science wakuu taasisi zipi zina afadhalindugu tafuta taasisi yeyote tu bora ubadilishe mazingira ,shida atujui kada yako tungekushauri machaka ya kwenda
Nimemuuliza makusudi huyo kipenseli2021 Kwani anaonekana kutokubaliana kuwa AUTO sio sababu ya kukutaliwa ombi.Nahisi mpaka unapotaka kwenda wathibitiahe
Utumishi hawawezi kukukatalia chochote. Unaotakiwa kupambana nao ni hiyo taasisi unaotaka kwenda je?? Wana shida na wewe?? Ukute tayar mtu wanayemtaka wameshamuelekeza mtu aombe huko kwenye mfumo saa nyingine nyie wengine mnakua ni bwege wsindikizajiTaasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.
Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kada ya marine science wakuu taasisi zipi zina afadhali
Hakuna mwenye taarifa wakuu?Wakuu msaada
PGSS 6 inakua kiasi gani
Nimekuewa kiongoziNimemuuliza makusudi huyo kipenseli2021 Kwani anaonekana kutokubaliana kuwa AUTO sio sababu ya kukutaliwa ombi.
Jambo jepesi tu la kujiuliza, mbona wote ambao vacancy zao zilipita AUTO wamekataliwa..?
Mimi nipo group moja la WhatsApp watu kibao wa AUTO wametoa mrejesho kuwa wamepata Rejected ila wale ambao Taasisi husika walikubali na kukomenti Bado maombi yao yanapumua..?
Hapo inaonesha dhahiri kuwa hawawezi kukubali ombi bila comment au makubaliano ya kule unakokwenda.
Sawa hapo wanajua wenyeweNimemuuliza makusudi huyo kipenseli2021 Kwani anaonekana kutokubaliana kuwa AUTO sio sababu ya kukutaliwa ombi.
Jambo jepesi tu la kujiuliza, mbona wote ambao vacancy zao zilipita AUTO wamekataliwa..?
Mimi nipo group moja la WhatsApp watu kibao wa AUTO wametoa mrejesho kuwa wamepata Rejected ila wale ambao Taasisi husika walikubali na kukomenti Bado maombi yao yanapumua..?
Hapo inaonesha dhahiri kuwa hawawezi kukubali ombi bila comment au makubaliano ya kule unakokwenda.
less than 1.2MWakuu msaada
PGSS 6 inakua kiasi gani
NAOT unajua mshahara wake mpk unasema kidogoJaribu kumuelewq mlengwa na kuelewa muktadha. Kuna taasisi zinazohusika
1. Salary kubwa, ila activities za mikoani ni chache au hakuna kabisa. Mfano TCRA
2. Salary ndogo, ila activities ziko shazi, mfano NAOT
Sasa huyo ni dereva, lazima ujue kuwa, huyo anataka kipi kati ya hicho yeye binafsi.
Fikiria tena na utujibu
Sexer we unataka kipi hapo
Nataka safari nyingi, na mshahara angalau usiwe TGSJaribu kumuelewq mlengwa na kuelewa muktadha. Kuna taasisi zinazohusika
1. Salary kubwa, ila activities za mikoani ni chache au hakuna kabisa. Mfano TCRA
2. Salary ndogo, ila activities ziko shazi, mfano NAOT
Sasa huyo ni dereva, lazima ujue kuwa, huyo anataka kipi kati ya hicho yeye binafsi.
Fikiria tena na utujibu
Sexer we unataka kipi hapo
Bwana dereva unataka taasisi yenye safari nyingiNataka safari nyingi, na mshahara angalau usiwe TGS
Ni almost siku 45 hiviMaombi yako yalikaa muda gani UTUMISHI