kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Bado wengineAnother Day Guys...
Hii Auto Vacancy imepukutisha maombi mengi sana ya watu duuuh..
Tunaomba mirejesho kwa waliofanikiwa kupata vibali Asubuhi hii
Wengine tunaendelea kusubiri.
Bado wengineAnother Day Guys...
Hii Auto Vacancy imepukutisha maombi mengi sana ya watu duuuh..
Tunaomba mirejesho kwa waliofanikiwa kupata vibali Asubuhi hii
Wengine tunaendelea kusubiri.
KumbeNi almost siku 45 hivi
Hatari nenda IkuluNataka safari nyingi, na mshahara angalau usiwe TGS
Huko walipisha tu vizuri na Cha kushangaza hata kwenye taasisi niliyokuwa nimeomba walitoa nafasi za kuhamia na awali nilituma maombi kwa njia ya posta, baadae HR akanipigia akaniambia niombe chap kwenye ESS. Ndo nikaanzisha huo mchakato huku nikiwasiliana nao kwa Kila hatua. Nao Leo wanashangaa ni kwa nini maombi yangu yamekataliwa wakati Nina zaidi ya sifa walizozihitaji. Any way nshaanzisha ombi lingine linaendelea hakuna kukata tamaa.kwa hiyo vacancy request ilikuwa auto,je uku kwa head of deparment ,accounting officer ilikuwaje
Mungu n mwema tuzidi omba tuHuko walipisha tu vizuri na Cha kushangaza hata kwenye taasisi niliyokuwa nimeomba walitoa nafasi za kuhamia na awali nilituma maombi kwa njia ya posta, baadae HR akanipigia akaniambia niombe chap kwenye ESS. Ndo nikaanzisha huo mchakato huku nikiwasiliana nao kwa Kila hatua. Nao Leo wanashangaa ni kwa nini maombi yangu yamekataliwa wakati Nina zaidi ya sifa walizozihitaji. Any way nshaanzisha ombi lingine linaendelea hakuna kukata tamaa.
Tatizo wao hawakukupitishia. Yaan walikupa taarifa nzuri kuwa uombe chap kwenye mfumo nawe ukaomba chap lakini wao hawakupitisha chap. Mwisho wa siku ikaenda AUTO. Kama bado Taasisi yao inapokea maombi kwenye mfumo. Omba tena hukohuko, Ombi likishafika waambie wakupitishieHuko walipisha tu vizuri na Cha kushangaza hata kwenye taasisi niliyokuwa nimeomba walitoa nafasi za kuhamia na awali nilituma maombi kwa njia ya posta, baadae HR akanipigia akaniambia niombe chap kwenye ESS. Ndo nikaanzisha huo mchakato huku nikiwasiliana nao kwa Kila hatua. Nao Leo wanashangaa ni kwa nini maombi yangu yamekataliwa wakati Nina zaidi ya sifa walizozihitaji. Any way nshaanzisha ombi lingine linaendelea hakuna kukata tamaa.
Hivi ombi likikataliwa (REJECTED) kule unakwenda na unakotoka nao wanapewa taarifa kuwa ombi la mtumishi huyu limekataliwa..?Huko walipisha tu vizuri na Cha kushangaza hata kwenye taasisi niliyokuwa nimeomba walitoa nafasi za kuhamia na awali nilituma maombi kwa njia ya posta, baadae HR akanipigia akaniambia niombe chap kwenye ESS. Ndo nikaanzisha huo mchakato huku nikiwasiliana nao kwa Kila hatua. Nao Leo wanashangaa ni kwa nini maombi yangu yamekataliwa wakati Nina zaidi ya sifa walizozihitaji. Any way nshaanzisha ombi lingine linaendelea hakuna kukata tamaa.
Hapa shida basi ni mfumo ,watu wapo busy bora wangeondoa auto features tuTatizo wao hawakukupitishia. Yaan walikupa taarifa nzuri kuwa uombe chap kwenye mfumo nawe ukaomba chap lakini wao hawakupitisha chap. Mwisho wa siku ikaenda AUTO. Kama bado Taasisi yao inapokea maombi kwenye mfumo. Omba tena hukohuko, Ombi likishafika waambie wakupitishie
Inategemea unaulinganisha na nani.NAOT unajua mshahara wake mpk unasema kidogo
Uliomba Taasisi Gani?
Mimi mwenyewe niliwasiliana na HR wa hiyo taasisi husika.Hivi ombi likikataliwa (REJECTED) kule unakwenda na unakotoka nao wanapewa taarifa kuwa ombi la mtumishi huyu limekataliwa..?
Au una maanisha wewe mwenyewe (Muhusika) ndiye uliwapa/ulitoa taarifa..?
Hadi sisi madereva mpako connection! Kwan watoto wa vigogo nao wanaendesha magari ya serikali?!Bwana dereva unataka taasisi yenye safari nyingi
Nenda copra, tume ya madini, mipango na uwekezaji, Osha, Ucsaf, NAOT, ila kuingia huko ni mpaka uwe na connection
Kumbe kuna group hebu naomba link ya group nijiungeNimemuuliza makusudi huyo kipenseli2021 Kwani anaonekana kutokubaliana kuwa AUTO sio sababu ya kukutaliwa ombi.
Jambo jepesi tu la kujiuliza, mbona wote ambao vacancy zao zilipita AUTO wamekataliwa..?
Mimi nipo group moja la WhatsApp watu kibao wa AUTO wametoa mrejesho kuwa wamepata Rejected ila wale ambao Taasisi husika walikubali na kukomenti Bado maombi yao yanapumua..?
Hapo inaonesha dhahiri kuwa hawawezi kukubali ombi bila comment au makubaliano ya kule unakokwenda.
Siioni kwenye mfumo.Hatari nenda Ikulu
Mkuu hizo taasisi nafasi za kuhamia hawatangazagi watu wanatonyana tuHadi sisi madereva mpako connection! Kwan watoto wa vigogo nao wanaendesha magari ya serikali?!
Naomba mniunge watsapMkuu hizo taasisi nafasi za kuhamia hawatangazagi watu wanatonyana tu
Siioni kwenye mfumo.
TRc shingp ?Inategemea unaulinganisha na nani.
Kama unaulinganisha na halmashauri sawa, kama unaulinganisha na hata na trc, sahau
Are u serious
Inategemea na kada / faniTRc shingp ?