naomba huu mkeka maana wengine tunabashiri tu.
Kuna jamaa angu limemtokea hili…Hapa shida basi ni mfumo ,watu wapo busy bora wangeondoa auto features tu
Aisee ni Kuomba Mungu tuKuna jamaa angu limemtokea hili…
Aliomba nafasi mwezi wa tano mwaka huu akapata(kwenye taasisi)
Mwezi wa sita maombi yakafika utumishi..mwezi wa nane akawa rejected comment ni “Bajeti ya nafasi imeshapita”
So pia hii ni changamoto kwa wengine..ni lazima pia tuangalie timing ya kutuma maombi
Ujaeleweka kiongoziHili swala la kuhama na kama mwakani nina panda daraja ni la kweli ?
naomba huu mkeka maana wengine tunabashiri tu.
we sema shingp degreeInategemea na kada / fani
Naot degree mshahara wake ni sh ngapi?we sema shingp degree
Hahaha, watu wanaficha sana hivi vitu mkuu sijui sababu niniwe sema shingp degree
Nilijua ni kwangu tu kumbe nawe ni hivyohivyo...Hivi mfumo unafunguka huko?
we sema shingp degree
Naomba kuuliza hivi unaweza kuomba nafasi kwenye taasisi mbili Kwa wakati mmoja ?Hivi mfumo unafunguka huko?
Hahahahaha uhakikaSafari hii Mfumo utarudi na GRANTED maana juzi ulirudi na REJECTED
HakikaSafari hii Mfumo utarudi na GRANTED maana juzi ulirudi na REJECTED
Rejected ni ndugu na Not selectedSafari hii Mfumo utarudi na GRANTED maana juzi ulirudi na REJECTED
Hapana huwezi, ukiwa unaomba hiyo TAASISI ya pili,itakwambia you have another requestSamahani naomba kuuliza hivi unaweza kuomba nafasi kwenye taasisi mbili Kwa wakati mmoja ?
Safari hii Mfumo utarudi na GRANTED maana juzi ulirudi na REJECTED