HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwaio wakuu imekua concluded kwamba ukihama mwaka huu na ilitakiwa upande daraja mwakani unarudi kwenye sifuri?
 
Kibali kimewekwa kina MUDA sasa ni tangu 27.08.2026 ila nilienda Halmashauri yangu nikiwa nimedownload nakala mbili kama nilivoelekezwa na wazoefu Jibu nililopewa ni kuwa utaratibu sio hivyo wewe subiria tutakupigia simu na Uhamisho wangu ni wakutoka Halmashauri ya pembrzoni kwenda jiji ambapo katibu tawala ameshasaini tayari
 
Kwaio wakuu imekua concluded kwamba ukihama mwaka huu na ilitakiwa upande daraja mwakani unarudi kwenye sifuri?
Kurudi sifuri inarudi kwakua kupya unapokwenda hawajawahi kua na activities zako.

Lakini kwamba inazuia kupanda hili siamini. Kama hoja hii ni ya ukweli ni kwamba inamaanisha unarudi mwaka mmoja nyuma. Sasa kwanini imuathiri anayepanda pekee? Kwanini isiathiri wote?
 
Na ukipanda daraja LGA kisha ukihamia Taasisi kupitia recategorization inakaaje wakuu?
 
Kurudi sifuri inarudi kwakua kupya unapokwenda hawajawahi kua na activities zako.

Lakini kwamba inazuia kupanda hili siamini. Kama hoja hii ni ya ukweli ni kwamba inamaanisha unarudi mwaka mmoja nyuma. Sasa kwanini imuathiri anayepanda pekee? Kwanini isiathiri wote?
Hii inahitaji ufafanuzi wa kueleweka maana wengine tumefika iyo miaka mitatu tunataka kutoka huku LGA
 
Kwaio wakuu imekua concluded kwamba ukihama mwaka huu na ilitakiwa upande daraja mwakani unarudi kwenye sifuri?
Ni kweli sina task yoyote kwenye mfumo nilijaribu pia kuwasilianavna mkuu WA KITUO kinachosoma sasa Jibu alilonipa ni mpaka aone barua sasa nimebaki MTU Kati huku nkmeambiwa nitapigiwa simu kibali CHANGU kikikamilika
 
Hii inahitaji ufafanuzi wa kueleweka maana wengine tumefika iyo miaka mitatu tunataka kutoka huku LGA

Ukifanyiwa recate ina maana unabadili kada au muundo kwa kawaida utakaa miaka 3 utapanda daraja kama kawaida ila kama unapanda mwakani ni heri usubiri kwanza daraja then uanze vurugu za recate
 
Ni kweli sina task yoyote kwenye mfumo nilijaribu pia kuwasilianavna mkuu WA KITUO kinachosoma sasa Jibu alilonipa ni mpaka aone barua sasa nimebaki MTU Kati huku nkmeambiwa nitapigiwa simu kibali CHANGU kikikamilika
Ety Mkuu.. Ombi lako lilikuwa Tamisemi au Utumishi..?
 
Naot degree mshahara wake ni sh ngapi?

Salary scales za NAOT zinaitwa "Supreme Audit Institution Salary Scale - SAIS" na zinarange kuanzia SAIS A hadi SAIS I. Ukiangalia ngazi ya mshahara wa NAOT kwa kada zenye degree, utaona ni kuanzia SAIS E. Angalia tangazo la kazi hapa. Sasa je, SAIS E ni kias gani?

Kwa mujibu wa Waraka Wa Watumishi wa Serikali na. 3 Kuhusu Marekebisho ya Mishahara kwa Watumishi wa Umma (waraka huu umetoka zamani kidogo) SAIS E1 ilikua kama invyoonekana hapa chini.

1790842315156.png

Pamoja na kwamba hapa kati kati kumekua na maongezeko mengi ya mishahara, nadhani hii itakupa picha ya hali ilivyo kwa sasa. Pia kama kuna mdau yuko NAOT anaweza kutoa figure kamili​
 
View attachment 3681690

I respect your knowledge kwenye hizi ishu mkuu
 
Ni kweli sina task yoyote kwenye mfumo nilijaribu pia kuwasilianavna mkuu WA KITUO kinachosoma sasa Jibu alilonipa ni mpaka aone barua sasa nimebaki MTU Kati huku nkmeambiwa nitapigiwa simu kibali CHANGU kikikamilika
nenda karipoti kwenye kituo kipya barua ya katibu mkuu ndo kila kitu
 
Ukifanyiwa recate ina maana unabadili kada au muundo kwa kawaida utakaa miaka 3 utapanda daraja kama kawaida ila kama unapanda mwakani ni heri usubiri kwanza daraja then uanze vurugu za recate
Dah hii ngumu kumeza
 
nashukuru Mungu wamenijibu japo jibu gumu sana ila ni kusonga mbele sababu 1-ikama na sababu 2 muda wa kituo cha sasa
Pole sana mkuu. Naomba kufahamu, Ikama kivipi na muda wa kituo Cha sasa kivipi..?
 
Salary scales za NAOT zinaitwa "Supreme Audit Institution Salary Scale - SAIS" na zinarange kuanzia SAIS A hadi SAIS I. Ukiangalia ngazi ya mshahara wa NAOT kwa kada zenye degree, utaona ni kuanzia SAIS E. Angalia tangazo la kazi hapa. Sasa je, SAIS E ni kias gani?

Kwa mujibu wa Waraka Wa Watumishi wa Serikali na. 3 Kuhusu Marekebisho ya Mishahara kwa Watumishi wa Umma (waraka huu umetoka zamani kidogo) SAIS E1 ilikua kama invyoonekana hapa chini.

View attachment 3681690

Pamoja na kwamba hapa kati kati kumekua na maongezeko mengi ya mishahara, nadhani hii itakupa picha ya hali ilivyo kwa sasa. Pia kama kuna mdau yuko NAOT anaweza kutoa figure kamili​
Kama mshahara ndio huu na hakuna posho nyingine basi utakula unga kama nyoka
 
Ni mwendo wa Rejected tu Kama hauna connection ni ngumu sana kuhama na 1/10 wanahama bila connection
 
Back
Top Bottom