Salary scales za NAOT zinaitwa "Supreme Audit Institution Salary Scale - SAIS" na zinarange kuanzia SAIS A hadi SAIS I. Ukiangalia ngazi ya mshahara wa NAOT kwa kada zenye degree, utaona ni kuanzia SAIS E. Angalia tangazo la kazi
hapa. Sasa je, SAIS E ni kias gani?
Kwa mujibu wa Waraka Wa Watumishi wa Serikali na. 3 Kuhusu Marekebisho ya Mishahara kwa Watumishi wa Umma (waraka huu umetoka zamani kidogo) SAIS E1 ilikua kama invyoonekana hapa chini.
View attachment 3681690
Pamoja na kwamba hapa kati kati kumekua na maongezeko mengi ya mishahara, nadhani hii itakupa picha ya hali ilivyo kwa sasa. Pia kama kuna mdau yuko NAOT anaweza kutoa figure kamili