HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwenye mkeka Kuna nafasi za kuhamia za Warden I ,Warden II na Examination officer, hivi ukiwa na fani gani unaweza kuomba kuhamiahi hizo nafasi?
Kwani hapo ulipo we ni warden au examination officer?

Kama siyo si inabidi uombe kwa recate?
 
Kwani hapo ulipo we ni warden au examination officer?

Kama siyo si inabidi uombe kwa recate?
Mimi sio Warden Wala Sio examination officer , nmeona hizo nafasi za kuhamia nataka nipate uelewa kidogo kabla ya kujaribu na Mimi
 
Na nyie huko mfumo wa ess kwenye e-uhamisho hauoneshi chochote?
 
Mkuu uliomba kuhamia wapi?

Ulianza na vacancy request?

Ulitumia nafasi za kwenye huu mkeka?

Pole kwa jibu gumu
kipenseli2021 unaonekana mchoyo wa taarifa Maana tulikubaliana humu kuwa tupeane mrejesho, sasa wewe Umejibiwa ukatoa taarifa zisizokamilika hapa na umefuta. Hebu tuwekee Screenshot tupate kujifunza. Fura taarifa zako muhimu BUT Wapambanaji tunataka tuone uhalisia au majibu hayo ya rejected
 
Wakuu mbona rejected ni nyingi zaidi inaogopesha sana au hawataki tuhame..?
 
Ess module zote zinafanya kazi vzr isipokua e uhamisho.

Hii ni michezo mnachezewa h
Halafu nimeingia mida ya saa 1 usiku huu ikakubali, sasa hivi haifunguki Wakuu... Uwiiiiiiih🤣. Huu mfumo unamaliza Bando langu tu
 
Ushuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
 

Attachments

  • IMG-20261001-WA0003 (2).jpg
    IMG-20261001-WA0003 (2).jpg
    26.8 KB · Views: 17
Ushuhuda,,,,ombi lilifka July mwishoni, majibu yamerudi jana.. na sababu ya kukataliwa ndio hiyo
Kwani uhamisho wa kwenye mfumo si unajigharamia au unalipwa stahiki zako? Au ndio ule waraka ambao unasema ukikaa kituo cha kazi zaidi ya miaka mitano unalipwa kisheria
 
Back
Top Bottom