HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila hizi hukumu na vifungu mbona viko kwa watu wanaoomba kwenye mfumo tu, mbona vibali vya nje ya mfumo havina complications..?
 
na wewe umekuwa rejected
Ndio jana nimekuwa rejected na reason ndo iyo iyo waraka sijui kitu gani yaani nakata tamaa, mke wangu naweza kaa hata miezi mitano hatujaonana kisa umbali maana na yeye muajiriwa na nikiomba naweka attachment zote ila wapi napigwa na kitu kizito tu, nahisi hadi ndoa siku ikivunjika ndo itakuwa furaha kwao
 
Unahisi sababu itakuwa ni Auto Vacancy au ni Nini .?
Ndio jana nimekuwa rejected na reason ndo iyo iyo waraka sijui kitu gani yaani nakata tamaa, mke wangu naweza kaa hata miezi mitano hatujaonana kisa umbali maana na yeye muajiriwa na nikiomba naweka attachment zote ila wapi napigwa na kitu kizito tu, nahisi hadi ndoa siku ikivunjika ndo itakuwa furaha kwao
 
Tayari. Mbona nilishatoa na ushuhuda wa rejected tangu ji

Kukata tamaa ni dhambi. Tafuta vacancy nyingine jaza, uanze upya. Ni bandua bandika hadi kieleweke.
Hahaha ingelikuwa wanajibu ndani ya wiki au hata maximum mwezi sawa. Ila uanze kuomba Vacancy mpaka ujibiwe (Maana sasa Auto hawataki) then ipite kwa watu wako wa taasisi hapa hata wanaopitisha kwenye Taasisi yako watakuona msumbufu, yaan kila siku ni wewe tu😁. ikifika Utumishi unakaa miezi zaidi ya 2 hujajibiwa..
Hiyo ni mwakani mkuu
 
Hapa unavuta ata mwezi kwanza unaana mchakato upya
 
Hahaha ingelikuwa wanajibu ndani ya wiki au hata maximum mwezi sawa. Ila uanze kuomba Vacancy mpaka ujibiwe (Maana sasa Auto hawataki) then ipite kwa watu wako wa taasisi hapa hata wanaopitisha kwenye Taasisi yako watakuona msumbufu, yaan kila siku ni wewe tu😁. ikifika Utumishi unakaa miezi zaidi ya 2 hujajibiwa..
Hiyo ni mwakani mkuu
Hawaa wajomba wanareject mpaka wenye vacancy za comments zisizokua auto.

Hawataki watu wahame wanatembeza vifungu tu asee ni huzuni.

Mimi nilipata rejection juzi sikuamini macho yangu, nimewapigia wanasema vacancy yako ilikua auto nikawaambia hapana ilikua approved. Mara ooh itakua hio nafasi mliomba wengi hivyo mwingine alishajibiwa, nikawaona wazinguaji.
 
Hawaa wajomba wanareject mpaka wenye vacancy za comments zisizokua auto.

Hawataki watu wahame wanatembeza vifungu tu asee ni huzuni.

Mimi nilipata rejection juzi sikuamini macho yangu, nimewapigia wanasema vacancy yako ilikua auto nikawaambia hapana nina comment. Mara ooh itakua hio nafasi mliomba wengi hivyo mwingine alishajibiwa, nikawaona wazinguaji.
Kwa hiyo auto awataki Sasa nàni aliwaambia waweke auto
 
Hawaa wajomba wanareject mpaka wenye vacancy za comments zisizokua auto.

Hawataki watu wahame wanatembeza vifungu tu asee ni huzuni.

Mimi nilipata rejection juzi sikuamini macho yangu, nimewapigia wanasema vacancy yako ilikua auto nikawaambia hapana nina comment. Mara ooh itakua hio nafasi mliomba wengi hivyo mwingine alishajibiwa, nikawaona wazinguaji.
Ni Taasisi?
 
Back
Top Bottom