HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hawaa wajomba wanareject mpaka wenye vacancy za comments zisizokua auto.

Hawataki watu wahame wanatembeza vifungu tu asee ni huzuni.

Mimi nilipata rejection juzi sikuamini macho yangu, nimewapigia wanasema vacancy yako ilikua auto nikawaambia hapana nina comment. Mara ooh itakua hio nafasi mliomba wengi hivyo mwingine alishajibiwa, nikawaona wazinguaji.
Comment yao wamesemaje
 
Kwanini wasi-closecheck vizuri vacancy ya mtu kuliko kuona Kila vacancy ni Auto.
Hivi vifungu mbona kama vinavyowekwa kuzuga watu tu
 
Ndio jana nimekuwa rejected na reason ndo iyo iyo waraka sijui kitu gani yaani nakata tamaa, mke wangu naweza kaa hata miezi mitano hatujaonana kisa umbali maana na yeye muajiriwa na nikiomba naweka attachment zote ila wapi napigwa na kitu kizito tu, nahisi hadi ndoa siku ikivunjika ndo itakuwa furaha kwao
Kwanini mkeo asiombe uhamisho kukufuata wewe? Maana hiyo ndio rahisi sana.
 
Dah aisee mi mwenyewe ndo hivyo hivyo aisee, sa sijui wanachotaka wao ni kitu gani labda
Yaani ulikubaliwa Vacancy Request huko unakoenda, ukakubaliwa transfer na Boss wako, ila bado ukakumbatana na REJECTED??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Basi inatosha maana wapo walioleta ushuhuda kuwa wamepata vibali na wengine wamekuwa rejected hivyo huu ndio mfumo wa maisha Cha msingi tumshukuru Mungu kwa yote, inawezekana kuwa wake wa Rejected Kuna vitu wamekosea maana Utumishi ndio mwajiri Mkuu wanajua miongozo yao na imani wana tenda haki Cha msingi
1:Tuliza kichwa
2:Tafuta taasisi au sehemu nyingine omba Tena,Mungu atajalia utafanikiwa tu
 
Nadhani watu waliotoboa kwenye mfumo kuna some sort of connection au support walipata utumishi wakafanikisha, ila si unajua waja wachoyo wa fursa, wanakupiga tu kiswahili hata kama una ukaribu nae ila in reality ni tofauti kabisa
Kuna jamaa namfahamu katoboa kwenye mfumo na hakuwa na connection utumishi.
Aliomba nafasi kwenye taasisi kwa barua wakampa barua ya kukubali. Akaandika barua kwenda kwa katibu mkuu akiambatanisha na ile barua aliyokubaliwa na taasisi. Ili mambo yake yaende haraka akaona apeleke kwa mkono utumishi Dodoma. Alipofika kule wakamwambia hatupokei hard copy tena siku hizi rudi kaombe kwenye mfumo tu. Zunguka sana ofisini pale hakuna kitu.
Akarudi kupachika kwenye mfumo jibu linakuja NOT BUDGETED hiyo mwezi February. Anawauliza taasisi waliompa barua mbona huku NOT BUDGETED wao wanasema hata wao hawajui sababu.
Baada ya hapo kaanza kujaribu tu kila wiki anachungualia mfumo hadi June ikakubali NOT BUDGETED ikaondoka na September wiki ya kwanza kapata kibali
 
wapo fair
 
kwa hiyo tuseme ni bahati ya mtu,au tuwe na barua au tufanyaje
 
barua ya kuomba nafasi unapitisha kwa nani ,wakati utaambiwa ingia kwenye mfumo
 
Hatari sana! Mambo ya barua ni kazi sana. Je, na hiyo barua ya kuomba nafasi unaandikaje title?
Mbona kuna mtu hapo juu yeye anasema alipata nafasi kwenye mfumo na barua pia alikua nayo ila wamereject.

Na walivyotujibu jumla jumla unashindwa kujua shida nini na uanzie wapi ili ombi lijalo lifanikiwe
 
Kabisa Mimi naona inawezekana sababu kuu ni ule mkeka ambao aukuwa official hivyo wameamua ku reject waliotumia
 
Mbona kuna mtu hapo juu yeye anasema alipata nafasi kwenye mfumo na barua pia alikua nayo ila wamereject.

Na walivyotujibu jumla jumla unashindwa kujua shida nini na uanzie wapi ili ombi lijalo lifanikiwe
Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo, na utumishi wako fair sana.

Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda! Kuna watu hapa wameongea habari za Auto Accept wakidhani ni kigezo cha kukosa si kweli.

Ili mfumo ukubali auto accept ni lazima HR apitishe kule unakoomba vacancy then iende kwa accounting officer, taasisi nyingi mkuu wa taasisi huwa busy sana hivyo maombi mengi huenda kwa HR ila accounting officer stage isipothibitisha basi hukubaliwa auto! HR asipogusa ombi lako halitajibiwa hata likikaa mwaka. Ukiona 10 days ujue ngazi ya mkuu wa taasisi tu ndo haija comment na hupita auto!

Sasa utumishi kikubwa wanaangalia je ulipotoka mkuu wako anasemaje? Kumbuka mkuu wako chochote atakachoamua ombi lako litasonga mbele, akikukubalia uhame ni lazima aseme nafasi yako inajazwa vipi na ikitokea akakubali na akawa hana ikama ya kutosha katibu mkuu anayo mamlaka ya kukuzuia usiondoke ili usije leta pengo unakotoka!!

Mbaya zaidi anachoandika boss wako huwezi ona.
 
Back
Top Bottom