Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 387
- 1,094
anhaa kwenye transfer request aka attach na ile barua ya kujibiwa sioTransfer
anhaa kwenye transfer request aka attach na ile barua ya kujibiwa sioTransfer
Baada ya hiyo comment ulimuacha tu hivyo?Miaka yangu 10 ndani ya utumishi wa umma nimeshuhudia mengi sana na mimi mwenyewe ni muhanga wa comment mbaya za waajiri. Nikiwa mwajiriwa wa halmashauri moja niliandika barua ya kuomba kazi TAEC. Ile barua mkuu wangu wa idara alicomment HE HAS NO QALIFICATIONS TO HANDLE THE APPLIED POST
Mkuu waidara yule alikuwa ana miezi mitatu tu hanijui jina wala sura yangu kwanza nilikuwa siripoti kwake wala mimi sikuwa Headquater kwahiyo hatufahamiani. Sijui kwanini alikuwa na roho mbaya namna ile.
Kwa halmashauri kule mkuu wa idara ndio anabeba maisha yako nisingeweza kufanya chochote labda nimpige ngumi nifukuzwe kazi. Huku ukifikiria una wategemezi basi unakuwa mpole kama ndege aliyelowa na mvua.Baada ya hiyo comment ulimuacha tu hivyo?
Pole sana Yani n hatariMiaka yangu 10 ndani ya utumishi wa umma nimeshuhudia mengi sana na mimi mwenyewe ni muhanga wa comment mbaya za waajiri. Nikiwa mwajiriwa wa halmashauri moja niliandika barua ya kuomba kazi TAEC. Ile barua mkuu wangu wa idara alicomment HE HAS NO QALIFICATIONS TO HANDLE THE APPLIED POST
Mkuu waidara yule alikuwa ana miezi mitatu tu hanijui jina wala sura yangu kwanza nilikuwa siripoti kwake wala mimi sikuwa Headquater kwahiyo hatufahamiani. Sijui kwanini alikuwa na roho mbaya namna ile.
Bora kwenye barua ya hard copy kidogo waajiri walikuwa wanaona aibu wanaandika tu FOWARDED lakini kwenye mfumo anajua huoni kitu anaweza kusema chochote hata kukuita MWIZI wa vifaa vya ofisi
Wakuu wa taasisi kama hataki anakataa kwenye vacancy maombi hayaendi mbeleUhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo, na utumishi wako fair sana.
Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda! Kuna watu hapa wameongea habari za Auto Accept wakidhani ni kigezo cha kukosa si kweli.
Ili mfumo ukubali auto accept ni lazima HR apitishe kule unakoomba vacancy then iende kwa accounting officer, taasisi nyingi mkuu wa taasisi huwa busy sana hivyo maombi mengi huenda kwa HR ila accounting officer stage isipothibitisha basi hukubaliwa auto! HR asipogusa ombi lako halitajibiwa hata likikaa mwaka. Ukiona 10 days ujue ngazi ya mkuu wa taasisi tu ndo haija comment na hupita auto!
Sasa utumishi kikubwa wanaangalia je ulipotoka mkuu wako anasemaje? Kumbuka mkuu wako chochote atakachoamua ombi lako litasonga mbele, akikukubalia uhame ni lazima aseme nafasi yako inajazwa vipi na ikitokea akakubali na akawa hana ikama ya kutosha katibu mkuu anayo mamlaka ya kukuzuia usiondoke ili usije leta pengo unakotoka!!
Mbaya zaidi anachoandika boss wako huwezi ona
Inawezekana hujaelewa mada, issue sio kutaa au kukubali. Issue ni kwamba amekubali sawa ila comment yake iko vipi..? Unajua comment ni muhimu sana kule Utumishi. Boss anaweza kukupitishia vizuri lakini akawa ameweka comment ya kukusagia kunguni. Kumbuka comment ya Boss wako huwezi kuiona kwenye mfumo, utaona kuwa amepitisha tuWakuu wa taasisi kama hataki anakataa kwenye vacancy maombi hayaendi mbele
Hana Mamlaka ya kukataa yeye anashauri halafu anapitishaWakuu wa taasisi kama hataki anakataa kwenye vacancy maombi hayaendi mbele
Hii ndio ukwel mkuu wa taasisi hana huwezo wa kukataa maombi yasiende utumishi, yeye kazi yake ni kuandika comment tu. Kwa sababu maombi huwa yaenda kwa katibu mkuu, so katibu mkuu anafanyia kazi kutokana na comment za mwajiri wako... mwaka juzi wakati bado hard copy kuna mtu akiandikiwa bado tunamuhitaji, so katibu mkuu alifanya maamuz kutokana na comment hiyo, kwa hiyo hata ambao mnakataliwa kuba comment unaweza kutwa imeandikwa ingawa wewe huoni, ila utumishi wako fair sanaMkuu wako
Hana Mamlaka ya kukataa yeye anashauri halafu anapitisha
Kaka wewe kua na utulivu tu, nje ya hapo tafuta connection ya kuelewekaNaomba kuuliza, sijathibitishwa kazn bado lkn nataka kuhama, nikienda utumishi Dodoma watanisikiliza hoja zangu? Au najisumbua au nianzie tamisemi? Nipo Arusha nataka kwenda pwani mwalimu mathematics
Umeandika nini na mimi nimeandika nini? Mkuu wa taasisi akikataa kwako inakuja rejected na ujumbe kwamba not recommended! Na ombi halifiki kwake bila kupita kwanza kwa HR!Wakuu wa taasisi kama hataki anakataa kwenye vacancy maombi hayaendi mbele
Hakuna condition zozote zinazofanya ili liwezekane?Kaka wewe kua na utulivu tu, nje ya hapo tafuta connection ya kueleweka
Wewe ambaye hata kuthibitishwa kazini bado, tena mwalimu wa maths!! Kuhama sahau!! Utaliwa hela zako bure!Hakuna condition zozote zinazofanya ili liwezekane?
Hapo kwenye ikama ndo uchawi ulipo!! Ikama huangaliwa unapotoka sio unapokwenda!Nafikiri huenda hii ikawa ndio sababu, niliiwaza pia. Japo niliwapigia simu utumishi wakasema kitu kikubwa wanachoangalia wao hasa ni ikama.
Kwa namna hii ndio maana watu wanahama kiharamia au kuacha kazi.
Kuna kua na condition Kaz sio ufungwa, nataka nijue conditions ambazo hazijal hizo Sheria Nyingne zoteW
Wewe ambaye hata kuthibitishwa kazini bado, tena mwalimu wa maths!! Kuhama sahau!! Utaliwa hela zako bure!
Acha kazi!Kuna kua na condition Kaz sio ufungwa, nataka nijue conditions ambazo hazijal hizo Sheria Nyingne zote
Hii nakubali Mkuu, Ikama inafuatiliwa sana.. maana unaweza kuta Afisa wa kada X anaomba kuhama kwenda taasisi fulani lakini taasisi hiyohiyo aliyopo ina uhitaji au ina nafasi za kupokea watu wa kada hiyo X.Hapo kwenye ikama ndo uchawi ulipo!! Ikama huangaliwa unapotoka sio unapokwenda!
Boss wako ni lazima athibitishe kuwa pengo lako lina mbadala ili ukiondoka asijeenda omba kibali utumishi kuajiri mtu wa kada yako!!
Ndo yale unaona mtu kaputishiwa anakoenda lkn utumishi wanamliga chini!
Ndo maana mnaona halmashauri za mijini kwenye watumishi wengi hasa walimu wa sanaa kuchomoka ni rahisi sana! Taasisi zenye changamoto kuchomoka ni mbinde maana katibu mkuu akikupa kibali ni lazima ajiridhishe ikama inakaaje!!
Kabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!Hii nakubali Mkuu, Ikama inafuatiliwa sana.. maana unaweza kuta Afisa wa kada X anaomba kuhama kwenda taasisi fulani lakini taasisi hiyohiyo aliyopo ina uhitaji au ina nafasi za kupokea watu wa kada hiyo X.
Sasa kwa mantiki hii UTUMISHI ndio huwa wanashikilia bomba