Je mwajiri akisema nimeridhia hata kama I kama haipo sawaKabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
Je mwajiri akisema nimeridhia hata kama I kama haipo sawaKabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
Ndiyo Mkuu na kwa kuwa SLMB amepiga simu Utumishi na wamemjibu na kuthibitishiwa hili basi tunazidi kupata somo na kuaminiKabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
Sure, nina experience hiii... mwajiri ana nguvu sanaKabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
Kwahyo kuacha ndo jibu?Acha kazi!
Utathibitishwa mwezi gani?Naomba kuuliza, sijathibitishwa kazn bado lkn nataka kuhama, nikienda utumishi Dodoma watanisikiliza hoja zangu? Au najisumbua au nianzie tamisemi? Nipo Arusha nataka kwenda pwani mwalimu mathematics
Njia Rahisi zaidi tafuta wa kubadilishana naye,uende Dar yeye. Aje ArushaKwahyo kuacha ndo jibu?
January, kumbe kuumwa sio sababu aiseeUtathibitishwa mwezi gani?
Ni sababu mojawapo na ina uzito mkubwa tu kama umeambat1nisha nakala za Hospital zinazo thibitisha unatakiwa ukae jirani na hospitalJanuary, kumbe kuumwa sio sababu aisee
Kwahyo naanzia na kwa Afisa utumishi au niende Moja kwa Moja Dodoma, nyaraka zipo Tena za muhimbili na mloganzilaNi sababu mojawapo na ina uzito mkubwa tu kama umeambat1nisha nakala za Hospital zinazo thibitisha unatakiwa ukae jirani na hospital
Uhamisho huanza kwa mwajiri wakoKwahyo naanzia na kwa Afisa utumishi au niende Moja kwa Moja Dodoma, nyaraka zipo Tena za muhimbili na mloganzila
SawaUhamisho huanza kwa mwajiri wako
Acha wana Pakia COMMENT(s) na SIO VIBALI TENAE-Transfer toka Alhamis jioni haifunguki
Wenzangu mmefanikiwa..?
Duh vipi na wewe tayariAcha wana Pakia COMMENT(s) na SIO VIBALI TENA
Pole ndugu yangu,kama nyaraka zote zipo usikimbilie kwenye mfumo kwanza nenda moja kwa moja Dodoma ,Serikali yetu ni sikivu sanaKwahyo naanzia na kwa Afisa utumishi au niende Moja kwa Moja Dodoma, nyaraka zipo Tena za muhimbili na mloganzila
Comment na vifunguAcha wana Pakia COMMENT(s) na SIO VIBALI TENA
Bado ,hapo mpka kesho mida ya saa tatuE-Transfer toka Alhamis jioni haifunguki
Wenzangu mmefanikiwa..?
Mtachelewa sana kugundua kuwa ess ni kikwazo kwenu.Halafu nimeingia mida ya saa 1 usiku huu ikakubali, sasa hivi haifunguki Wakuu... Uwiiiiiiih🤣. Huu mfumo unamaliza Bando langu tu
Naona akili zimeanza kuwarudia sasa,huo mfumo ni illusion kwa common workers.Nadhani watu waliotoboa kwenye mfumo kuna some sort of connection au support walipata utumishi wakafanikisha, ila si unajua waja wachoyo wa fursa, wanakupiga tu kiswahili hata kama una ukaribu nae ila in reality ni tofauti kabisa
DahMtachelewa sana kugundua kuwa ess ni kikwazo kwenu.
Endeleeni kujipa moyo.