Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,772
- 7,372
Hata me naona hamna tofautiKwaiyo tumekubaliana auto ni sawa na Not selected..
Hata me naona hamna tofautiKwaiyo tumekubaliana auto ni sawa na Not selected..
NoKwaiyo tumekubaliana auto ni sawa na Not selected..
Hili swala la kuhama na kama mwakani nita panda daraja Kuna uwezekano wa kutopanda daraja kwasababu ya kukosa asilimia za pepmis ni la kweli ?Ujaeleweka kiongozi
Pandisha kazi za pepmisHili swala la kuhama na kama mwakani nina panda daraja Kuna uwezekano wa kutopanda daraja kwasababu ya kukosa asilimia za pepmis ni la kweli ?
💀Naot degree mshahara wake ni sh ngapi?
Ni ishu kushare?
we sema wewe uko TRC degree ni shingpNi ishu kushare?
Aaah sawa asanteHapana huwezi, ukiwa unaomba hiyo TAASISI ya pili,itakwambia you have another request
Ni kweli, maana kuna watu mwaka huu imewatokea hivo walivyohama Pepmis kwenye % ikawa 0.. Hivyo wakashindwa kupanda.Hili swala la kuhama na kama mwakani nina panda daraja Kuna uwezekano wa kutopanda daraja kwasababu ya kukosa asilimia za pepmis ni la kweli ?
Sijui umenielewa ?Pandisha kazi za pepmis
Duhh sio poaNi kweli, maana kuna watu mwaka huu imewatokea hivo walivyohama Pepmis kwenye % ikawa 0.. Hivyo wakashindwa kupanda.
Ushauri wangu, Subiri upande daraja then uangalie issue ya kuhama.
Hivi mfumo hautoi notification hata kwa email za wahusika kujua kuna pending issue ya kuifanyia kazi? Wenye uzoefu na hili tujulishaneHapa shida basi ni mfumo ,watu wapo busy bora wangeondoa auto features tu
Kibali umewekewa lini..?Hatimaye nimeona kibali kwenye ess yangu ila changamoto nimeenda wilayan kufuatilia naambiwa kibali hakijafika nisubiri!!!,KITUO CHA KAZI KIMESHABADILIKA NA HATA ORGANIZATION IMESHABADILIKA!!. SCORE NI 0!!! NA TASK HAKUNA HATA MOJA!!!JAPO MWAKANI NATARAJI KUPANDA DARAJA,NIKO NJIA PANDA!!,MI NI MWALIMU,NIMEAMUA KUTOENDA KAZINI KWA KITUO CHANGU CHA ZAMANI MAANA NAHISI SIWAJIBIKI KWA VYOVYOTE NA KITUO HICHO CHA ZAMANI.WAZOEFU TUSAIDIANE KIPI NIFANYE ILI KAZI YANGU NISITILIWE SHAKA NA UWAJIBIKAJI PIA
Leta ushuhudaHatimaye nimeona kibali kwenye ess yangu ila changamoto nimeenda wilayan kufuatilia naambiwa kibali hakijafika nisubiri!!!,KITUO CHA KAZI KIMESHABADILIKA NA HATA ORGANIZATION IMESHABADILIKA!!. SCORE NI 0!!! NA TASK HAKUNA HATA MOJA!!!JAPO MWAKANI NATARAJI KUPANDA DARAJA,NIKO NJIA PANDA!!,MI NI MWALIMU,NIMEAMUA KUTOENDA KAZINI KWA KITUO CHANGU CHA ZAMANI MAANA NAHISI SIWAJIBIKI KWA VYOVYOTE NA KITUO HICHO CHA ZAMANI.WAZOEFU TUSAIDIANE KIPI NIFANYE ILI KAZI YANGU NISITILIWE SHAKA NA UWAJIBIKAJI PIA
Kama ukiona kibali unachotakiwa ni ku download na kukipelekà Halmshauri au Wilayani kwako wakufungie data sheet,Kisha nenda karipoti,kibali n barua ya katibu mkuu hakuna anayepingaHatimaye nimeona kibali kwenye ess yangu ila changamoto nimeenda wilayan kufuatilia naambiwa kibali hakijafika nisubiri!!!,KITUO CHA KAZI KIMESHABADILIKA NA HATA ORGANIZATION IMESHABADILIKA!!. SCORE NI 0!!! NA TASK HAKUNA HATA MOJA!!!JAPO MWAKANI NATARAJI KUPANDA DARAJA,NIKO NJIA PANDA!!,MI NI MWALIMU,NIMEAMUA KUTOENDA KAZINI KWA KITUO CHANGU CHA ZAMANI MAANA NAHISI SIWAJIBIKI KWA VYOVYOTE NA KITUO HICHO CHA ZAMANI.WAZOEFU TUSAIDIANE KIPI NIFANYE ILI KAZI YANGU NISITILIWE SHAKA NA UWAJIBIKAJI PIA
Huyo mwamba anaonekana sio mzoefu wa huu Uzi, sidhani kama hatopotea humu tukashindwa kupata ushuhuda uliokamilikaLeta ushuhuda
Kabisa kapata kibali ajui Cha kufanyaHuyo mwamba anaonekana sio mzoefu wa huu Uzi, sidhani kama hatopotea humu tukashindwa kupata ushuhuda uliokamilika
TRC wanamishahara kama LGAwe sema wewe uko TRC degree ni shingp
Huu msimamo wako wa mwisho wa kutokwenda kazini kisa hauwajibiki ni msimamo wa kutaka kutunishiana misuli.Hatimaye nimeona kibali kwenye ess yangu ila changamoto nimeenda wilayan kufuatilia naambiwa kibali hakijafika nisubiri!!!,KITUO CHA KAZI KIMESHABADILIKA NA HATA ORGANIZATION IMESHABADILIKA!!. SCORE NI 0!!! NA TASK HAKUNA HATA MOJA!!!JAPO MWAKANI NATARAJI KUPANDA DARAJA,NIKO NJIA PANDA!!,MI NI MWALIMU,NIMEAMUA KUTOENDA KAZINI KWA KITUO CHANGU CHA ZAMANI MAANA NAHISI SIWAJIBIKI KWA VYOVYOTE NA KITUO HICHO CHA ZAMANI.WAZOEFU TUSAIDIANE KIPI NIFANYE ILI KAZI YANGU NISITILIWE SHAKA NA UWAJIBIKAJI PIA