safetymaster
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 275
- 340
....."already filled "Hivi nafasi zikijaa mfumo unasemaje

Maombi yako yalikaa muda gani UTUMISHI6
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.
Pole mkuu, mapambano lazima yaendelee check taasisi nyingine yenye nafasi uruke nayo chap hakuna muda wa kukata tamaa wala kuwapumzisha utumishi.6
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.
Shukrani MkuuKwa dhati ya moyo wangu nawaombea sana wapambanaji wote, Mimi nilishatoa ushuhuda wangu humu kuwa sina ninayemjua na nimehama kupitia ess.Ombi utumishi lilifika Juni 2026 na kibali nikapata August 2026. Niwatie moyo msikate tamaa.hakika Mungu atawatendea.
Hongera Mimi Leo siku ya 2Kwa kweli tumekata tamaa. Me najipa likizo kuanzia kesho sitoingia kwenye huu Uzi wala kwenye ESS yangu 😁
More blessingsKwa dhati ya moyo wangu nawaombea sana wapambanaji wote, Mimi nilishatoa ushuhuda wangu humu kuwa sina ninayemjua na nimehama kupitia ess.Ombi utumishi lilifika Juni 2026 na kibali nikapata August 2026. Niwatie moyo msikate tamaa.hakika Mungu atawatendea.
Watu wanahama kweli sema atutami kuvumilia tiKwa dhati ya moyo wangu nawaombea sana wapambanaji wote, Mimi nilishatoa ushuhuda wangu humu kuwa sina ninayemjua na nimehama kupitia ess.Ombi utumishi lilifika Juni 2026 na kibali nikapata August 2026. Niwatie moyo msikate tamaa.hakika Mungu atawatendea.
Ulianza vacancy request au exchange request6
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.
Mkuu pole sana.6
Mimi nimejibiwa Leo. Nimepigwa na kitu kizito Cha Rejected ili hali nilifuata hatua zote, nilianza na Vacancy request ikapita kwa outo.
aisee Sasa waliweka ya niniMkuu pole sana.
Ila sio wewe tu maana kuna mtu namfahamu nae kajibiwa jana kwa REJECTED, nae alipata vacancy kwa AUTO kama wewe. Nae kaambiwa hakuna uthibitisho wa nafasi wazi.
Naona hii AUTO hawaitaki na ndio maana sasa imeondolewa kabisa.
Mapambano lazima yaendelee Wakuu Msikate tamaa. Dunia ni Mapambano
Kwa hiyo watu wa Auto vacancy wakae pembeni dahMkuu pole sana.
Ila sio wewe tu maana kuna mtu namfahamu nae kajibiwa jana kwa REJECTED, nae alipata vacancy kwa AUTO kama wewe. Nae kaambiwa hakuna uthibitisho wa nafasi wazi.
Naona hii AUTO hawaitaki na ndio maana sasa imeondolewa kabisa.
Mapambano lazima yaendelee Wakuu Msikate tamaa. Dunia ni Mapambano
Maana wasingeweka auto tungejibiwa na taasisi tuMkuu pole sana.
Ila sio wewe tu maana kuna mtu namfahamu nae kajibiwa jana kwa REJECTED, nae alipata vacancy kwa AUTO kama wewe. Nae kaambiwa hakuna uthibitisho wa nafasi wazi.
Naona hii AUTO hawaitaki na ndio maana sasa imeondolewa kabisa.
Mapambano lazima yaendelee Wakuu Msikate tamaa. Dunia ni Mapambano
So Auto wameitoa? Na wameitoa kwa kwahuta zote au kule destination tu?Mkuu pole sana.
Ila sio wewe tu maana kuna mtu namfahamu nae kajibiwa jana kwa REJECTED, nae alipata vacancy kwa AUTO kama wewe. Nae kaambiwa hakuna uthibitisho wa nafasi wazi.
Naona hii AUTO hawaitaki na ndio maana sasa imeondolewa kabisa.
Mapambano lazima yaendelee Wakuu Msikate tamaa. Dunia ni Mapambano
So Auto wameitoa? Na wameitoa kwa kwahuta zote au kule destination tu
Jaribu kumuelewq mlengwa na kuelewa muktadha. Kuna taasisi zinazohusikaEWURA
TCRA
PURA
chagua kwa mtiririko huu
04/08/2026Sio mbaya inatupa matumaini kwa wengine kwa kuamini wanafanyia kazi maombi yetu, Vipi maombi yako yalifika UTUMISHI tarehe ngapi?
04/08/2026Maombi yako yalikaa muda gani UTUMISHI
wamekujibu mapema sana04/08/2026
kwa hiyo vacancy request ilikuwa auto,je uku kwa head of deparment ,accounting officer ilikuwaje04/08/2026