kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
kumbe,sijaingia kwenye mfumo muda yaniMaombi yalienda Utumishi July na September 11 wamejibu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
kumbe,sijaingia kwenye mfumo muda yaniMaombi yalienda Utumishi July na September 11 wamejibu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hapa Halmashauri yetu kuna wawili wao walianza na Vacancy Request, hawa hawajajibiwa.Mimi nimejaribu kufuatilia wadau wengi ninaowajua na waliopata vibali au hata kujibiwa kwa rejected, Watu wengi wanaotoka Halmashauri mbalimbali WANAJIBIWA HARAKA kuliko wale wanaotoka Taasisi to Taasisi.. Hii imekaaje wadau..!!
Mwaka jana kuna raia hawakuwa na Vacancy Request na walitoboa.kumbe,sijaingia kwenye mfumo muda yani
basi hakuna fomula za majibu,ila naona kama majibu yanachukua miezi 2Lilifika UTUMISHI 15/07/2026 na 11/09/2026 wamejibu.
Sio mimi tu Halmashauri yetu woteee wale ninaowajua washapokea majibu.
Nilituma normal transfer bila kuanza na Vacancy request.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Vunga wanajibu.Hivi ukijaribu kwenda Utumishi kuulizia progress ni vibaya?
kwa kweli halmashauri wanajibiwa fasta sanaMimi nimejaribu kufuatilia wadau wengi ninaowajua na waliopata vibali au hata kujibiwa kwa rejected, Watu wengi wanaotoka Halmashauri mbalimbali WANAJIBIWA HARAKA kuliko wale wanaotoka Taasisi to Taasisi.. Hii imekaaje wadau..!!
aisee wote wana nne rejectedVunga wanajibu.
Ninao wajua hapa kazini wamejibiwa wa4 woteeee REJECTED..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hao kama hawajajibiwa basi vibali vyao vipo kwenye mchakato. Waendelee kusubiri vibaliHapa Halmashauri yetu kuna wawili wao walianza na Vacancy Request, hawa hawajajibiwa.
Waliojibiwa ni wakina sisi tulioanza na Direct Normal Transfer.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Iwe isiwe kwa NEEMA za MUNGU nitahama Halmashauri niende nikafanye kazi Taasisi ya Wizara ya Fedha...!!!Kweli kaka hakuna kukata tamaa kwenye haya maisha.. Mungu akutangulie tena kwenye haya maombi mapya..
kweli inawezekanaHao kama hawajajibiwa basi vibali vyao vipo kwenye mchakato. Waendelee kusubiri vibali
Ndio woteee hatukuanza na Vacancy Request.aisee wote wana nne rejected
Na mimi nishatuma..Hao kama hawajajibiwa basi vibali vyao vipo kwenye mchakato. Waendelee kusubiri vibali
aisee basi ni vizuri kama umeanza mchakato mpya Mungu atazidi kusaidia tuNdio woteee hatukuanza na Vacancy Request.
Ila aliyeanza na Vacancy ninayemjua ni wa2 na wao hawapokea majibu..
Sema tumefuta na kila mtu anapambana.
Japo nafasi zimejaa, ila ukichokonoa unakutana na "Application Sent""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
shida sio kuchimba shida watu wanatafuta hela sio ndoto,unakuta mtu anakwenda kwenye taasisi kisa wanalipwa vizuri,lakini wengine ni career development tuNa mimi nishatuma..
Nimewahii, niliogopa UTUMISHI waki reject nitakuta nafasi zimejaa.
Kumbe wabongo wavivu kuchimbaaa, bado nafasi zipo.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Hivi nafasi zikijaa mfumo unasemajeNa mimi nishatuma..
Nimewahii, niliogopa UTUMISHI waki reject nitakuta nafasi zimejaa.
Kumbe wabongo wavivu kuchimbaaa, bado nafasi zipo.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Not BudgetedHivi nafasi zikijaa mfumo unasemaje
Mi lengo ni moja tu ""kufanya kazi taasisi fulani mbili zilizo chini ya Wizara ya Fedha"" na NITATOBOA TU.shida sio kuchimba shida watu wanatafuta hela sio ndoto,unakuta mtu anakwenda kwenye taasisi kisa wanalipwa vizuri,lakini wengine ni career development tu
yes hiyo sawa,nami lengo niende sehemu kwa ajili ya career yanguMi lengo ni moja tu ""kufanya kazi taasisi fulani mbili zilizo chini ya Wizara ya Fedha"" na NITATOBOA TU.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Inajibu jibu moja kati ya hayaHivi nafasi zikijaa mfumo unasemaje
Hapana ni ....Not Budgeted