Preba de fisica
Member
- Apr 8, 2021
- 57
- 52
Mkeka gani tena mkuu?
Mkeka gani tena mkuu?
Ukiwa hujafika miaka mitatu kazini mfumo unakukataa mapema sanaaHizi hizi nafasi kwa wale ambao hawaja timiza miaka mitatu kazini hawawezi omba pia??
ndugu tafuta taasisi yeyote tu bora ubadilishe mazingira ,shida atujui kada yako tungekushauri machaka ya kwendaNdio ninachokumbana nacho pia kazini naenda tu kukamilisha Ratiba
Njoo tushauriane,nami niliona vacancy na leo iko hiviNiliomba transfer kupitia dirisha la vacancy.
Wiki iliyopita nimejibiwa hivi:
Your transfer vacancy request is ACCEPTED. You can initiate transfer out request to desired authority.
Kwenye comments:
System auto-accepted Vacancy Request after exceeding 10 days without action at Destination Accounting Officer stage".
Je kuna matumaini yoyote hapo, ukizingatia imejibiwa automatically tu?
Liverpool VPN Uhamisho_
mshauriane nini hapoNjoo tushauriane,nami niliona vacancy na leo iko hivi
apo songa mbele tu,sababu auto accept wameiweka UTUMISHI ,sasa kama wameweka wenye sizani kama watakuja kataaNdugu niliona vacancy taasisi flan ya chuo,vacancy ikakubali ikaenda kwa mkurugenzi wangu anapitisha ikaenda katika taasisi husika imekaa siku 10 kule jana imejiweka ACCEPTED,then comment chin ikajiweka kiwa nianze kuinitiate transfer out ,nipeni ushauri haitaleta shida mbele ila nafasi chuoni zipo ndio maana vacancy request ilienda ...pia nitaacha vitu gani nilianza kuinitiate transger
mshauriane nini
Sawa ngoja,sasa kule kwenye vacancy request niliatach CV pekee.Huku kwenye kuinitiate kuna sehemu ya attachments niweke zip vyeti tu au pia niandike na barua kwenda kwa katibu mkuuapo songa mbele tu,sababu auto accept wameiweka UTUMISHI ,sasa kama wameweka wenye sizani kama watakuja kataa
ndio kuna nafasi ya ku attach documentsSawa ngoja,sasa kule kwenye vacancy request niliatach CV pekee.Huku kwenye kuinitiate kuna sehemu ya attachments niweke zip vyeti tu au pia niandike na barua kwenda kwa katibu mkuu
inategemea sio lazima ikae siku kumi 10Wataalamu wa halmashauri mbona hapa imekaa mwezi mmoja na hawajaaccept? Wengine wanasema inakaa siku 10 inajiaccept yenyewe?
Sasa hapo nitegemee nini mkuu? Kwenda halmashauri au vipiinategemea sio lazima ikae siku kumi 10
Hapo kuna halmashauri mbili zinatakiwa zipitishe ombi lakokwa hiyo ongea naoSasa hapo nitegemee nini mkuu? Kwenda halmashauri au vipi
Sawa mkuu, specific na HR ndio wanahusika si ndio?Hapo kuna halmashauri mbili zinatakiwa zipitishe ombi lakokwa hiyo ongea nao
Wapi uko, muda utafika tuJamani huko mitaani watu wanapata vibali, humu mbona hatupati,..? Au Kuna kitu tumewakosea Utumishi tukawaombe Msamaha..?