Kama unahamia kuwa mwalimu like assistant lecturer itafanyiwa recat...vinginevyo hakuna Kitu.1. Je unaweza kufanyiwa recategorization kwa kutumia Masters degree?
Mfano wewe umeajiriwa kama Afisa Utumishi na degree ya Human Resource Management. Ukasoma Masters ya Procurement kwa lengo la Recategorization uwe Afisa manunuzi. Muongozo wa utumishi unasemaje hapa?Mwenye uzoefu na hili tafadhali share experiance nataka kufanya maamuzi magumu.
2. Hizi kada zinazoitwa Quality Assurance Officers kwenye taasisi huwa wamesomea fani gani hasa wakiwa chuo?
Ahsante