dominho
Member
- Dec 1, 2014
- 32
- 15
YeahAlipiga With recategorization au sio
YeahAlipiga With recategorization au sio
Ndio lazma apitishe ili maombi yaende destinationHivi ukiomba vacancy, mwajiri anaona?
Nadhani hujui, jpm alishaifanya ega kuwa mamlaka, nazani tangu 2016Mamalaka ni Authority
Sasa wewe umeweka na Agency umeziita mamlaka😁 kwenye orodha yako kuna Taasisi,Agency na mamlaka
Usich1nganye eGA ni e-Government Agency,TBS ni Taasisi
Uwe unaangalia virefu vya Taasisi mkuu
Ukiona kuna neno Authority jua ni mamlaka
Inakataa,, ndo mana wengine huona Ile status THE VACANCY ALREADY FILLED au ,,mfumo utakua wazi kupokea maombi mengine mpaka ombi lako liwe rejected na KM UTUMISHI au TAMISEMIIwapo ikitokea taasisi inaomba watumishi wawili je kuna uwezekano maombi yakafika zaidi ya wawili utumishi au zikifika maombi mawili kwenye hiyo taasisi mfumo inakataa au?
Moja tu akiwai inajaa nafasi wakisha acceptIwapo ikitokea taasisi inaomba watumishi wawili je kuna uwezekano maombi yakafika zaidi ya wawili utumishi au zikifika maombi mawili kwenye hiyo taasisi mfumo inakataa au?
Sasa hivi nasikia nafasi ikijaa mfumo inaleta Designation not foundMoja tu akiwai inajaa nafasi wakisha accept
Ndio au "Vacancy already filled""Sasa hivi nasikia nafasi ikijaa mfumo inaleta Designation not found
Jamani...! Leo kuna mtu kapata kibali..?
Jamani...! Leo kuna mtu kapata kibali..?
hatari sanaKaka me nimeota status ya ombi langu imebadilika jamanii utumishi watuonee huruma kwa kwelii 🤣
mfumo mbona unagoma
🤣🤣🤣 Usikute kweli mkuu ushawekewa kibali, ni mfumo tu ndio inaleta jauKaka me nimeota status ya ombi langu imebadilika jamanii utumishi watuonee huruma kwa kwelii 🤣
Amen🤣🤣🤣 Usikute kweli mkuu ushawekewa kibali, ni mfumo tu ndio inaleta
hakuna kituOhy...... Tupeni mrejesho wadau, kwangu PO-PSMGG ameganda hataki kutoka😁