HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Normal transfer hii ambayo watu wanakula rejected Kila siku. Huyo labda alikuwa na mtu Utumishi, ombi likapita chap kama upepo
Alikuja kukiri kwamba alipata msaada kabla ya hapo alikua na kile kiswahili cha wabongo wengi kwamba "Ni maombi na kuamini katika Mungu" kumbe ameficha koneksheni iliyofanya Mungu ammempa kibali.
 
Haya mambo yapo mkuu kama Kuna mwamba namjua lake lilikaa siku 5 tu
 
Btw, Comments kuna wakati hazina maamuzi sana kwa kuwa maana ya mfumo kwa sasa unataka watu watoke wengine waingie hivyo huwezi kumzuia mtu kwa comments zako maana hata katibu mkuu utumishi aliwahi kusema wao huko ndiyo wanajua upungufu wa watumishi kwani takwimu wanazo wao hivyo kama mtu anataka kuhama atahama tu bila kujalisha mwajiri wake anasema nini.
Iwapo unaupungufu wa watu wa kada hiyo tenga bajeti yako wasilisha kisha watu wanaotaka kuja kwako watakuja kwa maana mahitaji yako tayari umeanisha, Huwezi kukaa na upungufu na hautaki ku address tatizo na at the same time hutaki watu watoke
Usirubunike huu mfumo ni illusion.
 
RRHs ziko chini ya Wizara, hivyo ukitaka kuhama Moja kwenda nyingine unaomba Wizarani me ndio najuaga hivyo. Mfano, hata hizi hospital za wilaya au Halmashauri za miji zipo chini ya Halmashauri husika. MNH, JKIC, BMH hizi ni Taasisi zinajitegemea na kwenye mfumo zipo
Waliohama hadi sasa ninaowajua wamwishikahama mwezi wa 6 mwkaa huu hawajatumia mfumo ni unaomba Barua MANUALLY
 
Waliombaje kwahizo barua tu kama inavyosema.
Hebu tueleze kwanza
Wote kwa Barua mkuu huyu Wamwisho nilimuhoji akashare Mkuu alijibu hivi Yeye aliandika kwanza Barua kuomba nafasi ya RRH anayotaka kuhamia wakamjibu ndio ipo akaandika barua kwenda kwa Kwa Katibu Mkuu kupitia kwa MOi wa Eneo lake la kazi akiambatanisha na ile barua waliyomjibu nafasi ipo huko atakapo kuhamia MoI akapitisha ikaenda kwa Katibu Mkuu baada ya muda ikaja barua kuwa amepata uhamisho
 
sasa Mkuu huu si uhamisho ndani ya wizara mzee(wizara ya afya), hapa watu wanaongelea kuhama taasisi, wizara moja kwenda wizara nyingine achana na hizo za internally ndani ya wizara
 
Kumbe nami ningefanya hivi ningekuwa nishatembea. Nilipata barua
 
Nimekupata mkuu wangu
 
Kumbe nami ningefanya hivi ningekuwa nishatembea. Nilipata barua
Kuna jamaa amesema ni Internal Transfer ndio inakuwa ila hizi tunazotaka sisi wadau utaratibu wake unajulikana mkuu
 
Mkuu ulivyopata barua, jamaa waliokupa barua waligoma kukufungulia budget kwenye mfumo?
Sijui kama ni wao Huwa wanafungua ila nilitakiwa nianze Normal transfer ili niweke Ile barua, huko mbele nikakutana na ugonjwa wa Taifa Vacancy not budgeted.. Sitaki kusikia hii kitu imeniumiza sana
 
Kuna jamaa amesema ni Internal Transfer ndio inakuwa ila hizi tunazotaka sisi wadau utaratibu wake unajulikana mkuu
Internal una maana gani..? kama uhamisho ulipitia Utumishi si ndio haohao wenye Mamlaka ya kuhamisha mtumishi yeyote bila kujali anatokea Taasisi gani.
Vipi kuhusu Taasisi zilizo ndani ya Wizara Moja, si Bado Mfumo au Utumishi wanahusika..?
 
Back
Top Bottom