Hunk Man
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 238
- 384
NAOT wana safari nyingi sana za ukaguzi hivyo per diem za kutoshawakuu ivi NAOT pakoje
NAOT wana safari nyingi sana za ukaguzi hivyo per diem za kutoshawakuu ivi NAOT pakoje
kwa mwezi inaeza ikawa ngp ukiwa na CPANAOT wana safari nyingi sana za ukaguzi hivyo per diem za kutosha
kada gani Mkuu?wakuu anayejua hali ya PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIPS CENTRE na TISEZA tupeane abc zao tujaribu bahati na huko
Kada ya Engineerkada gani Mkuu?
Ushauri wangu kwa vijana kama wewe ni muhasibu au afisa manunuzi na uko halmashauri komaa hapo hapo ulipo cha muhimu tafuta kitengo tu kinachoeleweka ndani ya halmashauri kama expenditure tega nyavu hapo.yah Mkuu, mi mwenyewe niko taasisi tena Town kabisa ila taasisi haina activities za maana wala nini, af ukicheki uko town kabisa, bora hata aliepo halmashauri ndani hana expenses aisee
mzee bila kupepesa macho nenda TISEZAKada ya Engineer
Mkuu mimi sipo halmashauriUshauri wangu kwa vijana kama wewe ni muhasibu au afisa manunuzi na uko halmashauri komaa hapo hapo ulipo cha muhimu tafuta kitengo tu kinachoeleweka ndani ya halmashauri kama expenditure tega nyavu hapo.
Taasisi hizi nyingine ni jau kila kitu kimenyooka hakuna konakona unaweza kutafuta hata buku ya vocha usipate kwa mwezi mzima.
Mimi sio muhasibu ila nimehamia taasisi moja lakini kila nikiangalia wahasibu niliowaacha halmashauri michongo yao wanayopata nikilinganisha na hawa niliowakuta hapa kwenye hii taasisi ni njaa tu.
Nawashauri waliopo halmashauriMkuu mimi sipo halmashauri
1. Salary nene itafanya biashara zangu zikue harakaMkuu Liverpool VPN wewe ulikwishasemaga unataka kwenye Maokoto maneno🤣🤣 acha kutukuna vichwa.🤣
Nyie jamaa acheni justifications zetu mara nahama kwa ajili ya carrier, sijui exposure. Mbona hamuendi Halmashauri za wilaya huko ndanindani.
Hapa ni salary nene, posho na safari za kutosha ndio tunataka, keki ya Taifa ni tam sana ukipata sehemu inayopatikana
Kweli mkuu..1. Salary nene itafanya biashara zangu zikue haraka
2. Na mjini pia nitatekeleza mengine.
Kijijini sio pakulea familia wala kufanya mambo yangu binafsi (side hustle), Hili NIMELIKATAAA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sina connection wala ndugu juuu.Umejitahidi sana zaidi ya miaka 13 upo halmashauri miaka yote hiyo
Kama upo sehemu mambo yako ya nje (side hustle) zinatembea FIKIRIA TENA..Taasisi hizi tulizopo mishahara Iko vizuri kimtindo ila hakuna posho wala Safari za uhakika,, lazima tuzikimbie na good thing Utumishi kila mwaka wanaachie nafasi za kuhamia ili Wapambanaji tupambanie Green pasture 💚
Kuhama sio dhambi,
Side hustle hazibambi??yah Mkuu, mi mwenyewe niko taasisi tena Town kabisa ila taasisi haina activities za maana wala nini, af ukicheki uko town kabisa, bora hata aliepo halmashauri ndani hana expenses aisee
2025/2026.Wadau kwani huu ni upi tena ni wa mwaka jana, mwaka huu au mwakani..?
Kama ni huu mfumo., oooh ni jau sana, Taasisi yetu 95% tumejaa vijana. Naona watu wanasepa tu halafu hata hawaujui mfumo. Mimi na mfumo wangu huu nahangaika kusubiri kibali. Sasa nautafuta mwezi wa 3 without Permit letterSina connection wala ndugu juuu.
Hivyo napambana mwenyewe.
Na vizingiti ni vingi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unaenda halmashauri kukagua unawatengenezea zengwee la ukaguzi, unawagonga mihoja kibaooo, halafu wao wanakupa takrima kukupoza 😆😆😆😁😁wakuu ivi NAOT pakoje
Natafuta uhamisho tokea nimalize masters 2021.Kama ni huu mfumo., oooh ni jau sana, Taasisi yetu 95% tumejaa vijana. Naona watu wanasepa tu halafu hata hawaujui mfumo. Mimi na mfumo wangu huu nahangaika kusubiri kibali. Sasa nautafuta mwezi wa 3 without Permit letter
Local government is always LOCAL Boss.Ushauri wangu kwa vijana kama wewe ni muhasibu au afisa manunuzi na uko halmashauri komaa hapo hapo ulipo cha muhimu tafuta kitengo tu kinachoeleweka ndani ya halmashauri kama expenditure tega nyavu hapo.
Taasisi hizi nyingine ni jau kila kitu kimenyooka hakuna konakona unaweza kutafuta hata buku ya vocha usipate kwa mwezi mzima.
Mimi sio muhasibu ila nimehamia taasisi moja lakini kila nikiangalia wahasibu niliowaacha halmashauri michongo yao wanayopata nikilinganisha na hawa niliowakuta hapa kwenye hii taasisi ni njaa tu.