Nahisi kama hukumwelewa muuliza swali. Kama nitakuwa sahihi Muuliza swali alitaka kujua kuhusu first info about kibali, kwamba labda kilitangulia kwenye ESS yako, au kule unakohamia walikustua au vipi..?Asante.
Nahisi kama hukumwelewa muuliza swali. Kama nitakuwa sahihi Muuliza swali alitaka kujua kuhusu first info about kibali, kwamba labda kilitangulia kwenye ESS yako, au kule unakohamia walikustua au vipi..?Asante.
Hakuna tena kizingiti.Hivi wakuu kama unakoomba kwenda wamepitisha na mwajiri nae kapitisha.
Kuna uwezekano wa Utumishi kukukatalia.
Ingia ESS >> Profile >>> Angalia cheo chako cha Muundo.Wakuu
Naomba kuuliza hivi hizi nafasi zilizowekwa kwa majina ya ujumla mfano Engineer II unawezaje kupata taarifa sahihi za kujua ni Engineer wa nini anayehitajika hiyo nafasi (Majengo, umeme, barabara, n.k) au mtu anaomba tu watachambua wenyewe.?
🤣🤣Duuh mbona kasheshe hii, muda wa kuteseka bado ni mrefu sana aisee. Watesi wangu wataniua mpaka kibali kitoke yee 😁
Hapa basi Kuna mambo mengiMkuu hapa kupata vibali hadi December, kama hali yenyewe ndio hii😭
Kuna jamaa wa June 20 namjua hadi leo hajapata kibali
Ila Kuna watu wa July wamepata.. Au ndio wanatoa vibali kwa nafasi za 2026/2027.?
hujaelewa swali la jamaa Mkuu, Engineer zipo category nyingi kuna (civil,electrical, mechanical etc), sasa kwenye ESS unakuta mtu ni Electrical Engineer ila amesajiliwa kwenye Mfumo kama Engineer I/II n.k bila specific details...na kwenye ule mkeka utakuta tu wametangaza Engineer I/II silently bila ku specify ni Engineer yupi...so mdau hapo ndo anauliza anawezaje kujua au kupata details ni Engineer yupi wanamtakaIngia ESS >> Profile >>> Angalia cheo chako cha Muundo.
Hama kulingana na cheo chako cha muundo au uombe Recategorization kwa ku-tick kibox cha recategorization.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuomba nafasi mpya (vacancy request) yaani Recategorization (kuomba cheo kipya tofauti na ulichonacho sasa, nayo inahitaji kukaa kituo kimojacha kazi mpaka miaka 3?Ingia ESS >> Profile >>> Angalia cheo chako cha Muundo.
Hama kulingana na cheo chako cha muundo au uombe Recategorization kwa ku-tick kibox cha recategorization.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Swali lako liweke vizuriKuomba nafasi mpya kunasili muindo yaani Recategorization nayo inahitaji miaka kukaa kituo kimoja mpaka miaka 3?
Uhamisho wowote unahitaji hiyo miaka mitatu.Kuomba nafasi mpya (vacancy request) yaani Recategorization (kuomba cheo kipya tofauti na ulichonacho sasa, nayo inahitaji kukaa kituo kimojacha kazi mpaka miaka 3?
Mfano uliajiriwa kama Mwalimu lakin taaluma yako ni uhasibu kabla ya miaka 3 kazini unatamani uombe nafasi ya kuhamia kwenye taasisi kama muhasibu na sio mwalimu tena,Je ni lazima cheo ulichoajiriwa nacho udumu nacho kuanzia miaka 3 ndipo uruhusiwe kukikimbia?
Cheo cha Muundo.hujaelewa swali la jamaa Mkuu, Engineer zipo category nyingi kuna (civil,electrical, mechanical etc), sasa kwenye ESS unakuta mtu ni Electrical Engineer ila amesajiliwa kwenye Mfumo kama Engineer I/II n.k bila specific details...na kwenye ule mkeka utakuta tu wametangaza Engineer I/II silently bila ku specify ni Engineer yupi...so mdau hapo ndo anauliza anawezaje kujua au kupata details ni Engineer yupi wanamtaka
Wakishamaliza kuutumia ndio unaenea mana hakuna tangazo wala barua iliyoambatana na huo mkeka.Huu mkeka huanza kuenea usiku wa kuamkia 01/July
Ni kutoka utumishi ila huenea tu kistaili ambayo haieleweki..!!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ingependeza Sana, kama VP tuanzishe uwe adminMimi nashauri tuwe na Group la Whatsapin
Mimi nashauri tuwe na Group la Whatsapp
Kuna dereva nae jana katoboa kutuma Vacancy Request.Wakishamaliza kuutumia ndio unaenea mana hakuna tangazo wala barua iliyoambatana na huo mkeka.
Mkuu wale wenzio wa hapo ofisi ambao walianza na Vacancy na hawajajibiwa kama wewe, wakifanikiwa kupata vibali tunaomba utuletee mrejeshoKuna dereva nae jana katoboa kutuma Vacancy Request.
Kwahiyo hapa ofisini kwetu nilikuwa nawajua walituma direct Transfer bila vacancy na maombi yao yakawa rejected kwasababu hawakuanza na Vacancy ni wa4 na wa3 wametuma tena maombi kupitia Vacancy.
Kati ya hao ....
2 wametuma vacancy Taasisi zilezile walizotuma Transfer mwanzo
2 wametuma Vacnacy Taasisi tofauti baada ya zile za mwanzo kuambiwa "nafasi zimejaa""
KUJARIBU sio KUSHINDWA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA