yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,591
- 4,597
Ndiyo yani miaka 3 exact toka umeajiriwa kwenye hiko kituo chako yani haizidi haipunguiHivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
Ndiyo yani miaka 3 exact toka umeajiriwa kwenye hiko kituo chako yani haizidi haipunguiHivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
Sawa sawa Mkuu nitabonga na HR wangu anipe ufafanuzi maana kuna Raia intake ya 2021 naona ndio wamepanda huu MwakaMwaka mmoja wa kuthibitishwa.
Miaka mitatu ya kutumikia cheo.
Miaka mitatu ya kutumikia cheo jumlisha mwaka mmoja wa kuthibitishwa inakua jumla minne.
Ni sahihi kuona anapanda mwaka wa 5 kwa hesabu hii ila kwa ambao tunatumia kalenda ya mwaka wa fedha maana yake mwaka wa tatu wa kutumikia cheo kwa aliyeajiriwa June 2022 utakamilika June 2026.
Ikifika July 2026, ambayo ni kalenda ya mwaka wa fedha mpya huyu mtu inabidi aanze na daraja jipya.
Hii ni kwa mujibu wa hesabu nilizopigiwa na jamaa waliopanda.
Shule kubwa sana Chief huyu wa June 2023 na yule July 2023 inamaama mmoja ni 2027 na mwingine 2028 au nimekosea MasteSio miiaka 5 chief,ni miaka 4 ila wanaangalia mwaka wa fedha uliaojiriwa,inawezekana uliajiriwa 2022 mwezi wa 8 na mwingine 2022 mwezi wa 5 hawa watapanfa daraja miaka tofauti huyu wa mwezi 8 ,2022 atapanda mwaka 2027 kwa sababu aliajiriwa 2022/2023 na aliyeajiriwa mwezi 5,2022 atapanda daraja 2026 kwa sababu aliajiriwa mwaka wa fedha 2021/2022
Bila shaka imeeleweka
Unasubiri vipi kibali bila ombi kufika Tamisemi au Utumishi. Maana hujaeleweka hapo kama umefanikiwa kumaliza transfer after vacancy request au bado Iko njiani..!Wakuu naomba kuuliza, kama umeanza na vacancy request ikawa accepted ikaenda kwenye transfer that means hapo ni kusubiri tu kibali sio?
I mean ikipita kwenye vacancy hakuna tena vikwazo? Au ndo unaweza subiri af ikaja sema not budgeted and the likes
Haya mambo ya mwaka wa kuthibitishwa ndio yanawachanganya watu. Sasa sikia nikwambie Mimi. Achana kabisa na kumbukumbu za kuthibitishwa we chukuwa tarehe uliajiriwa rasmi halafu hesabu miaka mitatu(3) yaaani kama umeajiriwa 11/09/2023 leo hii tarehe 11/09/2026 uko legal kuomba uhamisho kwenye mfumo na mfumo unakuruhusu bila shida.
Hii mada naomba iishie hapa coz nishafunga mjadala,, Watu tuko bize kusubiri vibali. Mkuu kipenseli2021 leta updates za vibali sasa😁
Yes,japo kibali kinachukua mudaWakuu naomba kuuliza, kama umeanza na vacancy request ikawa accepted ikaenda kwenye transfer that means hapo ni kusubiri tu kibali sio?
I mean ikipita kwenye vacancy hakuna tena vikwazo? Au ndo unaweza subiri af ikaja sema not budgeted and the likes
Sio wote wana safari kuna ofisi za TRA mikoani huko watumishi hadi wanaenda kufua nguo ofisini maana hakuna wateja wa kuja kulipa kodi wala kukata leseni. Asubuhi hadi mnafunga ofisi wateja watano.Ila hawa watu wana safari sana
TPDC usijaribu pale kama huna mtu unapoteza muda tuWakuu mimi nataka kujaribu UCSAF au TPDC, yupi yuko vyema zaid kuliko mwenzake...?
Tpdc kwenyewe mshahara mdogo labda allowancesTPDC usijaribu pale kama huna mtu unapoteza muda tu
Mi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokotoTpdc kwenyewe mshahara mdogo labda allowances
Ila TPDC nasikia wana safari nyingi sana tofauti hata na hao ewuraMi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
Mbona nilisikia kwa junior officer mshahara na posho inaweza fika hata 4m..?Tpdc kwenyewe mshahara mdogo labda allowances
So tpdc ni ngumu kuingia kuliko ewura...?TPDC usijaribu pale kama huna mtu unapoteza muda tu
Dream or salaryMbona nilisikia kwa junior officer mshahara na posho inaweza fika hata 4m..?
I mean posho pamoja na salaryDream or salary
Kwa hiyo ewura kuna maisha sana kuliko hata tpdc...? Why wakat tpdc ndio wazalishajiMi mwenyewe nawashangaa TPDC salary sio kubwa kama mnavodhani labda allowance ukitaka sehemu zenye salary kubwa nenda gaming board, TCRA, EWURA,TASAC,TRA, TCAA na zingine nyingi tu Kuna hiyo ya kwanza haivumi ila ni balaa kwenye maokoto
SawaI mean posho pamoja na salary
EWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juuKwa hiyo ewura kuna maisha sana kuliko hata tpdc...? Why wakat tpdc ndio wazalishaji
Hapo nimekupata kaka, basi kumbe hawapishani pishani sanaEWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juu
Maana pia kuna story nyingi sana zinasemwa kuhusu tpdc wanapewa sifa sana kuwa wao ndio namba 1 tzEWURA mbona nao wanaingiza mapato, sijasema Kuna Maisha kuliko TPDC nmezungumzia mshahara kwenye allowance hapo labda TPDC ndo atakua juu ila salary EWURA wapo juu