Duh kwa hali hii sishangai kabudi kusema alitolewa jalalani, yani mshahara wa mtu wa PhD anazidiwa na officer ambaye ni dogo tu anayeanza kazi kwenye taasisi au mashirikaData za mwaka 2024
Tutorial Assistant Degree 1.7M
Assistant Lecturer Masters 2.5M
Lecturer PH D 3.4M
Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa.
Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers kwahiyo niakili yako na usharp wako wa kupublish tafiti mbali mbali upate fund ili usife njaa.