Kama hivyo ulifanya poa, sikilizia matokeoNilishaomba sikupoteza hata dakika 5 mkuu.
Hapa nimeuliza nikitaka kufahamishwa nimepiga hatua kiasi gani, kama matumaini yapo makubwa, ya wastani au bado zero.
Utatapeliwa mkuu. Kuna ajira mpya alipigwa alipost maandishi kama haya.Nahitaji kuhama mkoani kuja dar dau mil2 malipo baada ya kazi au nitaweka kwa mtu wa kati
Mimi mwenyewe mpigaji namsubiri mpigaji mwenzanguUtatapeliwa mkuu. Kuna ajira mpya alipigwa alipost maandishi kama haya.
Nimekutana na muuguzi aliajiriwa 2022 June hajapanda daraja.Wataalamu mnivushe hapa ajira ya 2022 anapanda daraja mwakani 1/7/2027 ni mwalimu Sasa kaanza mchakato tamisemi uhamisho wa kubadilishana anatarajia desemba utakuwa umefika TAMISEMI ila amesikia fununu kwamba ukipewa barua ya uhamisho TU scores zako zinasoma 0% hata jamiiforums walipost kule Instagram, Sasa endapo akipewa barua ya uhamisho mwakani mwezi 3/6 chance yake ya kupanda daraja itakuwaje?
M2 nayo ni hela? We una utani. Endelea kusbirNahitaji kuhama mkoani kuja dar dau mil2 malipo baada ya kazi au nitaweka kwa mtu wa kati
Sawa kama sio helaM2 nayo ni hela? We una utani. Endelea kusbir
Duh pole sana mkuu ,kila la kheri kwenye mipango yako🙏NIMEFUATILIA LENGO ILIKUWA KUMPACHIKA MTOTO WA KIGOGO SERIKALINI, SASA KAMA HIYO NDIYO SABABU KWANINI WANIPELEKE HALMASHAURI???
MIMI SIKATAI KUHAMA ILA HUWEZI KUNIHAMISHA KATIKA HALMASHAURI AMBAYO HAITOI HATA ALLOWANCES WAKATI NILIPOKUWEPO NILIKUWA NAPATA ALLOWANCES KILA MWEZI 2.5 MILIONI
HALAFU MBAYA ZAIDI HUU MWEZI WA NANE SIJALIPWA MSHAHARA TANGU NIHAMISHWE HATA HIYO STAHIKI YA UHAMISHO PIA WAMESHINDWA KUNILIPA KIASI CHA MILILIONI 12 SIJALIPWA HADI LEO NA BADO KAZINI KILA SIKU NAENDA
MPAKA HEAD WA HR WA HALMASHAURI ANANIULIZA NIMEMKOSEA NINI KM-UTUMISHI, KWANINI ASINIPELEKE TAASISI YENYE MFANANO WA MSHAHARA NA ALLOWANCES AU YENYE KULIPA VIZURI KULIKO HII NILIYOTOKA.
HAWA UTUMISHI MIMI WATANISAMEHE SANA, HUYU KM-UTUMISHI AKIFA LEO MIMI NITAFURAHI NITAKUNYWA BEER INGAWA MIMI SIYO MLEVI.
SORRY TO SAY THIS, HAWA JAMAA NI MAKUMANYORO TU, WASENGEREMA NA MIKUNDURU YAO, HAPA NAWAPW MWAKA MMOJA TU NASTAAFU UTUMISHI NAENDA KUIMARISHA BIASHARA ZANGU PINDI WATAKAPONILIPA MALIMBIKIZO YANGU YA MISHAHARA NA STAHIKI ZANGU ZA UHAMISHO NA KUJILIPUA KUCHUKUA MKOPO MKUBWA BAADA YA HAPO NAPIGA CHINI KAZI NA HUO MKOPO WATALIPA WENYEWE
Iko inategemeana na halmashauri ajira ya 2022 ilikuwa tarehe 1/7/2022 Sasa ikotokea afsa utumishi wenu aliandika 30/6/2022 kama siku ya kuajiriwa ndio unapanda, so wife siku Moja ndio ilisababisha halmashauri yao wasipande, naomba msaada unijibu kwenye swali endapo akipata barua ya uhamisho mwakani kabla ya kupanda daraja itakuwaje?Nimekutana na muuguzi aliajiriwa 2022 June hajapanda daraja.
Ila huyu muuguzi alikuja na afisa lishe, huyu afisa lishe kapanda daraja.
Nimekutana na mwalimu wa mwaka huo na mwezi huo kashapanda.
Watu watatu ninaowajua wawili wamepanda na mmoja hajapanda. Halmashauri moja na wamekuja muda sawa.
Ndiyo naona na wewe unasema mwalimu wa 2022 atapanda 2027 hiyo si itakua miaka 5? Au muundo wa walimu wao wanapandaje?
Hakunako chochote isipokuwa tu sina namna.Kwanini usitafute Taasisi au Regional secretary Zina posho nzuri pia..? Wajuzi hebu tuambieni
Kwanini ulikaa miaka 10 bila kupanda daraja mzee uliwezaje? Mimi kaka yangu hakupandishwa daraja akaacha na kazi.Hakunako chochote isipokuwa tu sina namna.
Tatizo mtoto wa mkulima sina connection yoyote mkuu. Mwezi jana nimepata recategorization kwa tabu sana baada ya kukaushiwa miaka 10 kazini bila kupanda daraja. Baada ya muundo kubadilika nikaitwa na afisa utumishi na kuambiwa kwa sasa hakuna nafasi nitafute transfer.
Baada ya kuambiwa hivyo nikaanza kuomba transfer kila sehemu naambiwa "not budgeted" isipokuwa hapo tu mkoa fulani kule kanda ya ziwa ndipo mfumo ulipokubali.
Kwanini usingeenda utumishi dodomaHakunako chochote isipokuwa tu sina namna.
Tatizo mtoto wa mkulima sina connection yoyote mkuu. Mwezi jana nimepata recategorization kwa tabu sana baada ya kukaushiwa miaka 10 kazini bila kupanda daraja. Baada ya muundo kubadilika nikaitwa na afisa utumishi na kuambiwa kwa sasa hakuna nafasi nitafute transfer.
Baada ya kuambiwa hivyo nikaanza kuomba transfer kila sehemu naambiwa "not budgeted" isipokuwa hapo tu mkoa fulani kule kanda ya ziwa ndipo mfumo ulipokubali.
kwanini miaka 10 wasikupandishe daraja, tatizo lilikua niniHakunako chochote isipokuwa tu sina namna.
Tatizo mtoto wa mkulima sina connection yoyote mkuu. Mwezi jana nimepata recategorization kwa tabu sana baada ya kukaushiwa miaka 10 kazini bila kupanda daraja. Baada ya muundo kubadilika nikaitwa na afisa utumishi na kuambiwa kwa sasa hakuna nafasi nitafute transfer.
Baada ya kuambiwa hivyo nikaanza kuomba transfer kila sehemu naambiwa "not budgeted" isipokuwa hapo tu mkoa fulani kule kanda ya ziwa ndipo mfumo ulipokubali.
Tulikwenda masomoni (wanne), sasa kwa HR mkuu tuliyenaye kusoma ni kama kutangaza vita naye.kwanini miaka 10 wasikupandishe daraja, tatizo lilikua nini
Hili sina uzoefu nalo. Ila sidhani kama scores zina mchango katika kupandaWataalamu mnivushe hapa ajira ya 2022 anapanda daraja mwakani 1/7/2027 ni mwalimu Sasa kaanza mchakato tamisemi uhamisho wa kubadilishana anatarajia desemba utakuwa umefika TAMISEMI ila amesikia fununu kwamba ukipewa barua ya uhamisho TU scores zako zinasoma 0% hata jamiiforums walipost kule Instagram, Sasa endapo akipewa barua ya uhamisho mwakani mwezi 3/6 chance yake ya kupanda daraja itakuwaje?
Kiufupi uhamisho ni pasua kichwa,ni kama vitaHuu mfumo ni wa moto sana, unaanza kuhangaikia na hiko kizuizi ukija kufanikiwa utaanza kuhangaika na status(vibali)