HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hongera mimi lilifika July
Kuna jamaa lake UTUMISHI wiki ya kwanza JULY ametoboa tarehe 30 August 202 kakuta kibali kimejaa tele
markup_1000102154.jpg
 
Daah watu na bahati zao. Kwani hawa utumishi utaratibu wao upoje? Mwanzo nilijua first in first out ila ni zigzag hivi kuna watu wamechelewa kuomba na wanapata mapema kuliko maombi ya wengine yaliofika mapema ehee.
Mwenyewe sielewi mkuu maana Kuna wa July 30 lakini amejibiwa tarehe 31 August kwahyo hiyo First In First Out (FIFO) sijui kama inafanya kazi😁
 
Hii nimeona tarehe 1/9/2026.......,ila barua ilitumwa ninakokwenda na ninakotoka wiki moja kabla ya mimi kuona mabadiliko. Nilipigiwa simu kwenda kuchukua barua kabla ya kuona mabadiliko haya.
Hivi kwenye hiyo barua wanaandika kabisa kuwa unatakiwa kuripoti kituo kipya ndani ya siku 14....?, je haiwezekan taasisi yako inayotoka ikakufanyia fitna ikakucheleweshe kukufanyia process za mwishon hizi za uhamisho ndan ya hizo siku
 
Hapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
 
Back
Top Bottom