Spectrophotometry
Member
- Aug 2, 2026
- 51
- 101
Vyuo vikuu mkuu. Tutorial Assistant anaanza na 1.7 ila akidaka hiyo mwisho wa mwezi ndio tukutane mwisho wa mwezi.Kama zipi mkuu
Njoo kwa Account Officer II wa manispaa aliyepo kwenye kitengo cha matumizi au FASS Salary laki 8, lakini vurugu ni nyingi akikusanya anampiga gap kubwa Tutorial.