Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Nasikia ukienda huko wanakufukuza tu, utaambiwa kama uliomba uhamisho kwenye mfumo basi na majibu utayapata huko huko🤣
Ni Taasisi gani hiyo mkuu una Usongo nayo hivyo uhamie😁
Hawaeleweki hao,, we subiri tu majibu na usiwe na pressure sanaTaasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.
Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hawaeleweki hao,, we subiri tu majibu na usiwe na pressure sana
Ulitengeneza Vacancy?! Yes, Utumishi wanaweza kupiga chini ombi lako la Uhamisho. Tegemea majibu yoyote.Habari wa ndugu ....
Iko hivi ...
Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa.
Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri, nashukuru baada ya SP kudumu miezi 4 ilifunguliwa na barua yangu ya ruhusa ya kwenda masomoni nilipata.
Sasa bana juzijuzi nikiwa likizo kutoka masomoni niliona fursa ya kuhamia taasisi ""Tamutamu"" na nikatuma maombi ya kuhamia huko.
Ili kuharakisha mambo nilirudi Ofisini kwangu Halmashauri nikaomba na nashukuru kila muhusika wa ku-approve hatua fulani ya uhamisho kakubali na sasa uhamisho wangu unasoma ""Your Transfer Request Approval Status PO - PSMGG (UTUMISHI)""
View attachment 3631453
Sasa naomba ushauri ....
Kwanza kabisa Likizo yangu inaisha 22/08/2026 na 01/09/2026 natakiwa kuwa darsani, sasa Je ....
1. Hii hali ya status hii itachukua muda gani ili iwe approved na hao Utumishi?
2. Je ikiwa mkurugenzi wangu amekubali kama hivi nihame, Je utumishi wanaweza ku-reject??
3. Unanishauri ili kuharakisha mambo na kupokea majibu mazuri, Naweza kwenda Dodoma personally nika push mambo au nikae tu Dar nisubiri Utumishi wafanye kazi yao??
Asanteni.
Nasubiri ushauri.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Ulitengeneza Vacancy?! Yes, Utumishi wanaweza kupiga chini ombi lako la Uhamisho. Tegemea majibu yoyote.
Usiache kuomba Mungu.
Unapoenda umeandaa Mazingira?
Wao wame approve?
Amen.
Amen.Subiri tu majibu kwenye mfumo,mana utumishi sikuhizi wahuni
Kila la Kheri. Kuna colleague alifanya hivyo ikakwamia Utumishi. Kikubwa endelea kupiga sala Masta.Sikuanza na Vacancy Request nilianza na Normal Transfer moja kwa moja...
Ila nimejipanga, wakigoma kupitisha sababu ya sikuomba nafasi (vacancy) before, basi nitaanza upya.
Nilitaka ku-withdraw nianze upya kwa kuomba Vacancy, ila nikaambiwa niache hivyo hivyo kwasababu wapo walianza na Normal Transfer moja kwa moja bila kupitia Vacancy Request na walitoboa.
Yote kwa yote MUNGU ATATENDA KWA UKUBWA WAKE.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
🤣🤣🤣 Hadi raha mkuu, nakuonea wivu kama ushapata kibali maana sio kwa Maokoto manene hayo. Ni chimbo gani hilo mkuu tuambizane basi😁Amen.
Mungu atatenda na mimi niende kwenye maokoto manene.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ilikwamaje mkuu..?Kila la Kheri. Kuna colleague alifanya hivyo ikakwamia Utumishi. Kikubwa endelea kupiga sala Masta.
Alitakiwa aanze upya mchakato kwa kucreate vacancyIlikwamaje mkuu..?